Search results

  1. Roxer

    Nimemwona live

    Dogo unaboa sana, huchekeshi, hufurahishi, huvutii. What kind of person you are?
  2. Roxer

    Ujinga wa utotoni

    Nilikuwa na chupi fulani naizimia kichizi. Ilipoanza kuchakaa lastic ikakatika (si unajua chupi zetu za long time) basi nikawa nikitaka kuivaa lazima nikanunue bazoka (kwa wasiojua ni kama big G) naitafuna ikiisha utamu nabandikia chupi. Basi kila ikiachia lazima nifunue sketi niibandikize...
  3. Roxer

    Msemo wa Leo....

    Ukitaka ndoa, kubali kulala bila chupi
  4. Roxer

    Painful

    A man is in court. The Judges says, "on the 3rd August you are accused of killing your wife by beating her to death with a hammer, how do you plead"? "Guilty", said the man in the dock. At this point a man at the back of the courts stood up and shouted "You dirty rat!". The Judge asked the...
  5. Roxer

    inakera sana!

    sh...z yako mwenyewe
  6. Roxer

    NISAIDIe kubadilika please

    Mimi nimekuelewa kaka na mke mwema ni mimi maana nimetoka kwa Mungu. Jipendekeze tu uone
  7. Roxer

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Nashukuru sana kaka Bishanga kwa kuanzisha thread hii, it is very useful to me. Tatizo hili limenisumbua kwa miaka mingi sasa toka nikiwa mdogo kiasi kwamba kuna shemeji zako kadhaa wamenikimbia kwa sababu hii.
  8. Roxer

    Hodi humu ndani

    Kwa babu ramani haisomeki ndiyo maana nimekimbilia huku JF. Asante
  9. Roxer

    Hodi humu ndani

    Asante kwa kinywaji
  10. Roxer

    Hodi humu ndani

    Naomba mnipokee wana JF, ni mgeni wenu toka loliondo kwa baaaaabu
Back
Top Bottom