Search results

  1. V

    Pick up for sale

    Habari wadau, Kuna Pick up single cabin inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri. Inauzwa na owner. ni white, imetembea apprx Km 100,000. ipo Dar, ni nzuri hata kwa biashara. AC yake inafanya kazi vizuri. Kwa mtu aliyeserious anayeitaji ni PM kwaajili ya kuona na bei ni maelewano.
  2. V

    Natafuta Kiwanja Arusha

    Asante mkuu. Nitamtafuta
  3. V

    Natafuta Kiwanja Arusha

    asante mkuu. Nitakutafuta
  4. V

    Natafuta Kiwanja Arusha

    Ninatafuta kiwanja cha size (30m*40) minimum size au shamba Arusha. Nilikuwa nataka sehemu ambayo ninaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki kwaajili ya kuweka migomba na n.k. Naitaji sehemu isiwe mbali sana na mji na sehemu iliyotulia. Gharama isizidi 15mio. kama unacho naomba unipm hili...
  5. V

    Nyumba ya kupanga karibu na St Joseph Sec School

    Nyumba ya kupanga ipo karibu na St Joseph Secondary school inapangishwa (Njia ya kuelekea Goba). Ni nyumba ya vyumba vitatu na ipo kwenye fensi. Maji kwa sasa yamesimamishwa kutokana na mgongano unaondelea lakini wameahidi watayarudisha kabla ya mwisho wa mwezi. Kodi ni TZS 250,000 kwa mwezi...
  6. V

    Kiwanja kinauzwa

    Watanzania naomba tuwe na tabia ya kusoma na kuelewa. Mtu amesema anauza kiwanja na ameweka asking price ya 3.5Mio alafu bado mnamuuliza weka bei. Sasa ni kwamba huwa atuelewi au huwa tunapenda kudandia tu. Utakuta watu wanauliza weka bei wengi wao sio wanunuaji. Mtu ambaye anaitaji kiwanja...
  7. V

    Suzuki Samurai For Sale

    Suzuki Samurai ya 1990 inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri na inatembea. Inaendeshwa na mama. Kama unaitaji wasiliana nami (nipm). Bei ni negotiable.
  8. V

    Nyumba ya Kupanga Mbezi Juu Goba Road

    Nyumba inapangishwa Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting rm na kitchen. Ipo ndani ya fensi na unaweza kupaki magari mawili. Maji yapo ya mgao. Kodi ni Tsh 300,000 kwa mwezi. Kwa wale ambao wapo serious wanatafuta nyumba. wasiliana na mimi. Hii nyumba aina pesa ya udalali.Wahi sasa.
  9. V

    Kiwanja Kinauzwa Goba Kunguru

    Mimi sio dalalikwani na mimi nimenunua kiwanja maeneno hayo hayo. Mimi mwenyewe sikupenda kununua kiwanja kwa bei kubwa lakini sasa ndio bei zake. Tatizo linakuja kwamba tunatofautiana vipato. wewe ukishindwa mwenzio anachukua. Nilipata shida kupata kiwanja cha bei nafuu matokeo yake pesa ikawa...
  10. V

    Kiwanja Kinauzwa Goba Kunguru

    Kuna kiwanja kinauzwa na jirani yangu hapa Goba Kunguru. Kina urefu wa mita 60 na upana wa 30m. Kina njia,maji na umeme upo jirani. Kinauzwa kwa Tsh 20,000,000. Kama unaitaji kiwanja na unaouwezo wa kununua hicho kiwanja unaweza wasiliana na mimi kwa hii email yangu hili niweze kukuunganisha na...
  11. V

    The flamboyant Lowassa

    Kanisa linatenda haki kabisa. Aliwezi kumtenga hata kama amekosea kwani kazi yake nikuwasaidia watu waweze kutenda mema. Uwezi jua kwani inawezekana Lowasa ameshakiri dhambi zake kwahiyo anazo haki zote. Mungu msaidie Edward Lowasa. Nafikiri anaweza kuwa kiongozi bora kwani ameshajifunza kwenye...
  12. V

    Upande wa nyumba unapangishwa mbezi beach/mbezi makonde

    [COLOR="#0000FF"][COLOR="#0000FF"]
Back
Top Bottom