Search results

  1. M

    Baada ya serikali kuondoa fao la kujitoa, ianzishe fao la kukosa ajira

    Wadau nawarudisha nyuma kidogo turejee kwenye hoja ya fao lakujitoa ambalo Serikali imeamua kuliondoa miongoni mwa mafao yanayotolewa na mifuko ya hifadhi ya jamii, mijadala mbalimbali ilifanywa na washikadau lakini mpaka sasa hakuna taarifa njema kwa sisi wahanga juu ya fao la kujitoa...
  2. M

    Waliotegemea malipo ya uzeeni ujanani sasa tena basi! Ufafanuzi kutoka Mamlaka - SSRA

    Waraka wa SSRA ni uhuni mtupu,sitaki kuamini mambo yasiyo na utaratibu,SSRA inaratibu shughuri za mifuko ya jamii na mahusiano yote ya kisera na utaratibu yanafantwa kati ya SSRA na mifuko husika. Iweje SSRA itoe maagizo kwa waajiri badala ya mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo inawajibika...
  3. M

    Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

    Leo meneja wa NSSF mkoa wa mara akiwa pamoja na HR meneja wa BARRICK NORTH MARA wamewatangazia wafanyakazi kwamba serikali imetoa TAMKO leo kwamba wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii hawataruhusiwa kutoa michango yao mara baada ya kuacha au kufukuzwa kazi,kuanzia leo, MWENYE TAARIFA...
  4. M

    Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

    Kuna tetesi kwamba serikali imetoa agizo leo mifuko yote ya hifadhi ya jamii kuacha kutoa mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa wafanyakazi wote watakao acha au kufukuzwa kazi kabla ya muda wa kustaafu kufika kuanzia leo.Taarifa hii imetolewa na meneja wa NSSF Mkoa wa Mara,Ndg MVUNGI pamoja...
  5. M

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    kila ninapopita asubuhi hii hapa ukerewe story ni CDM ilemela CDM Arumeru,natamani siku zikimbie tufike 2015,tumalize mzizi wa fitina
  6. M

    Tujikumbushe enzi za madaladala maarufu

    Duh hii post ni kiboko, imenikumbusha YELLOW FASSION
  7. M

    Basi la green star lapata ajali

    Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba
  8. M

    Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

    Hii kitu si ya kawaida bana,keep it up sugu.wakati wa kujivunia chetu kwa gharama zetu umefika.
  9. M

    Heka heka za ajali ya ubungo katika picha

    Nijuze hii tank ya delbit imeparamia gari ingine au imeparamia watembea kwa miguu
  10. M

    David mattaka akiwauliza waandishi mnahisi kuna kesi hapa?

    Mahakama Tanzania? Acha utani ndg na mahakama zenu zinazoamriwa na serikali namna ya kuhukumu.hakuna mahakama ya haki hapa
  11. M

    Kitendawili kimetegwa - Kikwete Tegua...

    Pipijojo Jk amesimamia maamuzi yenye Tija kwa ccm na serikali yake lakini sio MASLAHI YA TAIFA. Furahia yanayotokea leo na ujivunie kwa hayo kesho usije juta.Angalieni jirani zetu Kenya Jaji wa mahakama anaomba kazi kama anavyoomba IT TECH,sisi bado tunateuana wapi uhuru wa mteule kama si...
  12. M

    Kitendawili kimetegwa - Kikwete Tegua...

    The Good nafikiri ni mfuatiliaji mzuri wa huu mchakato lakini tatizo lako lipo kichama zaidi,kumbuka wapo wanaharakati ambao sio ccm wala cdm pia wanaupinga huu mswada,hoja ya msingi inayoangaliwa kwenye mchakato ni fair play ambayo itafanya pande zote ziaminiane,hakuna sababu ya msingi...
  13. M

    CHADEMA mpo?

    Naamini hata wewe ni mpenda AMANI ndio maana kwako EPA , DOWANS,MEREMETA KWAKO NI AMANI
  14. M

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    nini kimejili mpaka cdm watoke.mtujuze tafadhari
  15. M

    Barrick north mara yafanya dharau kwa nyerere na watanzania

    Wana jf jana nimebahatika kuingia kwenye ofisi za barrick north mara lakini nilisikitishwa sana kuona kanga yenye picha ya mwl j.k nyerere ikiwa na ma maandishi TUMUENZI NYERERE 1922-1999.kimsingi sikupendezwa hata kidogo na ujumbe ule wa dhihaki kwani naamini kama nyerere angekuwepo wizi na...
  16. M

    Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Umeongelea hisia zako, lakini ukweli Zitto ni mtata. Kama CHADEMA ingekuwa kama CCM ya leo ingesambarataratika kwani Zitto amewahi kukituhumu chama kwa udini na ukabila. Kama hiyo haitoshi mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 Zitto alitangaza kugombea urais 2015 kinyume na taratibu za chama, kama si...
  17. M

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    niupigie kura kwa faida ya nani.kama rasilimali za taifa zingekuwa na faida kwa watanzania ningepiga.siwezi kuendelea kuneemesha mafisadi
  18. M

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Ni gharama kubwa sana kutafuta haki lazima tukubali kupoteza hata uhai kwa kutafuta haki
  19. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    woga ni umasikini.Tuwaunge mkono kwa faida ya Tanzania na watanzania
  20. M

    Arusha kumekucha

    Tunisia,Misri,Libya ilianza ukombozi kwa mji mmoja mmoja hatimaye nchi nzima ikakombolewa,tuwaunge mkono ndg zetu wa Arusha nasi tukijiandaa kila mmoja kwa mji wake hatimaye ukumbozi kwa Tanzania
Back
Top Bottom