Search results

  1. N

    Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

    Pengine kweli ni 'subjective' na sio fair kama inavyosemwa na wasomi wengi hasa wa nchi zilizo katika nafasi za chini. Lakini, ngoja niorodheshe vigezo vilivyotumika kupata orodha hii na tuone kipi si sahihi kutumika katika kupanga, HASA VYUO VYETU. Nitaviweka kwa lugha waliypitumia wao na...
  2. N

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    Kifanyikacho hapa wadau ni hiki: Mzazi ana watoto wawili, mmoja kawa wa tatu na mwingine ni wa pili TOKA MWISHO katika mtihani. Halafu anaridhika kwa kuwa huyu wa tatu toka mwisho ni wa KWANZA NYUMBANI. JE, MZAZI HUYU ANA BUSARA? Hakuna hata chuo kimoja Afrika Mashariki nzima kwenye THE...
  3. N

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    The Times Higher Learning (THE)Ranking wametoa orodha ya vyuo vikuu bora duniani.... AFRIKA MASHARIKI HAKUNA HATA CHU KIMOJA...! Tutazame upya, pengine chuo fulani ni cha kwanza Tanzania, na kingine ni cha mwisho, lakini TUKO WAPI KIDUNIA?
  4. N

    Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

    Katika orodha ya Vyuo Vikuu Bora 400 Duniani (THE TOP 400 World Universities 2011/12)iliyotolewa hivi karibuni na The Times Higher Education (THE) World Universities Ranking HAKUNA HATA CHUO KIMOJA TOKA AFRIKA MASHARIKI...! Nini maana yake? Nini tatizo? Nini kifanyike? Vigezo 13 vinatumika...
  5. N

    Kumbe St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moto wa kuotea mbali

    JAMANI....HAKUNA HATA CHUO KIMOJA KWENYE TOP 400 ZA THE WORLD UNIVERSITIES RANKINGS ZILIZOTOLEWA KARIBUNI TOKA AFRIKA MASHARIKI....ACHENI KULUMBANA, TAFAKARINI NAMNA YA KUBORESHA ELIMU YETU TOKA NGAZI YA CHEKECHEA MPAKA VYUO VIKUU. FOLLOW THE LINK...
Back
Top Bottom