Search results

  1. H

    What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    nimekutana na situation kama hii...vp mlifanikiwa kufanya hiyo LAP test?
  2. H

    Msaada: Laptop ina stuck kwenye welcome screen

    Nilifanya partition.Niliweka C ambayo ilikuwa na windows na programs. D na E ndio niliweka files zangu mkuu
  3. H

    Msaada: Laptop ina stuck kwenye welcome screen

    Habari wakuu, Samahani nimepata tatizo la laptop yangu kustop kwenye welcome screen kila nikijaribu kuzima na kuwasha inaaishia hapo hapo. Nikifanya system repair inasema disk imepata tatizo. Nauliza kama naweza kupata solution ya hilo tatizo maana vitu vilivyomo ndani ndio muhimu sana. Ambae...
  4. H

    Ushauri wa Short Course

    Habari wakuu wa jukwaa la elimu.Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Accounting and Finance.Nimemaliza mwezi uliopita,natarajia kufanya CPA May mwakani.Naomba ushauri wa short course ambayo ninaweza kusoma kwa kipindi hiki ambacho bado sijapata kazi.Short course ambayo itaadd value kwenye...
  5. H

    Natafuta Centre Wanayofundisha Kifaransa

    nitajaribu kuitumia na hiyo pia...asante mkuu
  6. H

    Natafuta Centre Wanayofundisha Kifaransa

    Asante sana mkuu..napajua pale
  7. H

    Natafuta Centre Wanayofundisha Kifaransa

    Habari wakuu, Nina shida ya kupata ufahamu wa lugha tajwa hapo juu,naomba maelekezo ya centre ambazo wanafundisha kwa hapa Dar ikiwezekana na direction zake na mawasiliano pia. Nawasilisha. Asante
  8. H

    Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

    Asante mkuu...nishasolve
  9. H

    Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

    Mkuu sio kwamba huwa nafungua site za porn ila nilitaggiwa pia hiyo link so baada ya kuclick tu tatizo likahamia kwangu
  10. H

    Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

    Mkuu me mwenyewe nilitaggiwa ile link hivyo nikakosea kufungua ndio hapo tatizo lilipoanza...ila nashukuru tayari nimesolve
  11. H

    Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

    Asante sana mkuu...nimefanikiwa
  12. H

    Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

    Habari wakuu, Nimepata tatizo moja kwenye Account yangu ya Facebook inashare video chafu na kutag marafiki zangu,inakuja kuappear kwenye timeline yangu.Watu wanakuja kunilalamikia.Naomba msaada wa kufix hili tatizo kwa maana nareport ila bado hakuna lolote lililofanyika. Naomba msaada kwa hili...
  13. H

    Natafuta kazi au Intership nimechukua BSc.In Accounting and Finance

    Habari wakuu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nimemaliza chuo week iliyopita,nilikuwa nachukua Bachelor of science in Accounting and Finance chuo kikuu Ardhi.Natafuta kazi au sehemu nitakayofanya Internship. Mwenye nia ya kunisaidia naweza kuntumia CV yangu akaiangalia.Nina experience ya...
  14. H

    Nimepoteza Cheti Cha Form 4, nimemaliza 2009

    Asante sana mkubwa wangu,ushauri wako utanifaa sana.Nitajitahidi kuzingatia.Mungu akubariki sana
  15. H

    Nimepoteza Cheti Cha Form 4, nimemaliza 2009

    Sawa mkuu,loss report nimeshachukua
Back
Top Bottom