Search results

  1. S

    Lowassa na Kiingereza chake!

    Kujua kingereza sio shida ndio maana WAchina wanaenda na wakalimani
  2. S

    Madhara ya Amarula

    Maji na maziwa yatakufaa sana katika kipindi hiki.
  3. S

    Jenista Mhagama: Waziri asiyejua dressing code tumtegemee kwa lipi katika elimu?

    Sasa mavazi yake yanahusiana nini na ufanisi wake wa kazi? Some people bwana!
  4. S

    Kambaya: CCM inaendeshwa kwa mawazo ya Kardinali Pengo

    Badala ya kueleza sera za chama chako unaeleza mambo binafsi ya Nape. yatawasaidia nini Wananchi wa Magomeni
  5. S

    Vitambulisho vya utaifa vimekwamia wapi? Mbona Zanzibar wameweza??

    Wewe upo mkoa gani? mbona sasa hivi wapo katika hatua za mwisho za kuchuku alama za vidole pamoja na picha kisha baada ya ndio itakuja hauta nyingine ya kutoa vitambulisho.
  6. S

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Hakuna mtukufu chini ya jua.
  7. S

    Mchumba wa kike kuvuta sigara mbele za wakwe!!

    Lakini afadhali kawaonyesha tabia yake, mngeiona baada ya ndoa si ndio mngechanganyikiwa kabisa.
  8. S

    Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

    Ni kweli kabisa.
  9. S

    Mwaka wa pili mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi wakati huo huo anadai ananipenda

    Hivi mtu kukuonyesha kwamba anakupenda ni mpaka ufanye naye mapenzi?
  10. S

    Nisaidie ushauri...ndoa imenishinda

    Dada umesema kwamba wewe ni mlokole, me ningekushauri kaombe ushauri kwa wachungaji wako, na wewe pia ukifanya maombi. hiyo ni kazi ya shetani na shetani atafurahi kuona umeshindwa na mimi naamini huwezi shindwa vita hii
  11. S

    USHOGA:Je shoga ni sawa mtu ambaye ni kilema??

    Ni bora uzaliwe mlemavu kuliko kuwa shoga
  12. S

    Rais Kikwete akiwa Rwanda kwa ziara ya kuhudhulia miaka 50 ya uhuru wa Rwanda (2012)

    TUwe tunasoma vichwa vya habari kwa makini kabla ya kutoa comment, hiyo picha ilipigwa mwaka jana na wala si mwaka huu
  13. S

    Rais Kikwete akiwa Rwanda kwa ziara ya kuhudhulia miaka 50 ya uhuru wa Rwanda (2012)

    hiyo picha ni ya mwaka jana, hawa watu hawajakutana tangia waanze kurushiana maneno
  14. S

    Rais Samora Machel, alimchukiza Mungu kuliko maraisi wote Africa

    Haohao waliotuletea dini Afrika ndio haohao waliooandika hicho kitabu unategemea wataandika mazuri kuhusu Samora ikumbukwe kwamba kabla ya Wazungu na waarabu hawajaja Afrika kulikuwa hakuna Ukristo wala Uislamu. kwahiyo kwa upande mwingine Samora inabidi aeleweke kwanini alifanya hivyo. "Afrika...
  15. S

    Msaada. natafuta jina zuri la kike

    Mwite TARAJI kwasababu unamtarajia kuwasili wakati wowote. au latisha maana yake Great Joy; Shandi- Mungu ni mwema
Back
Top Bottom