Search results

  1. M

    Kuomba kubadilisha kituo cha kazi

    Habari ma great thinker!Mimi ni mwalimu wa sekondari ya misalai iliyopo Amani katika halmashauri ya muheza hivyo nilikuwa naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliyopo katika halmashauri hizi Kibaha,kinondoni au Mbeya mjini.Naomba ushirikaano wenu kwani huku kuna hali ya hewa nzuri sana.contact...
Back
Top Bottom