Search results

  1. Mirlz B Matthew

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Niko poa...Niko fresh..,kama bado napumua naamini mambo yatajipa!!
  2. Mirlz B Matthew

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Kuna baadhi ya watangazaji unawaona kabisa hawa pangu pakavu tia mchuzi!.....Mfano hawa wa ITV habari(upande wa michezo) kila siku mavazi yale yale inamaanisha ata fedha za nguo hawana
  3. Mirlz B Matthew

    Ewe Muajiriwa: Mara paap umesitishiwa ajira yako, utafanyaje?

    Kwanini unawaza mambo hasi kiasi icho!!! Aliyekupa hio ajira ndo atakupitisha kweny e ayo magumu!
  4. Mirlz B Matthew

    Najuta sana

    Ngj nisubirie
  5. Mirlz B Matthew

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Kulainisha mambo ni muhimu Kuna sometimes mambo ni magumu mno!!! Tusihofie kitu kwenye utafutaji
  6. Mirlz B Matthew

    Nahitaji Mwanaume wa kufunga naye ndoa

    usimkatishe tamaa!Mbona mi nipo 🙂
  7. Mirlz B Matthew

    Natafuta bus bora

    kunguni wadudu
  8. Mirlz B Matthew

    Natafuta bus bora

    Zipo mkuu!frester,happy nation,osaka... Ila nyingi uvumilie kunguni
  9. Mirlz B Matthew

    Kwa mara ya kwanza nimebahatika kulala na msanii wa bongofleva

    Apo kwenye mshahara kukata ndo noma!! Na salary advance inagoma!lazima uache kadi Kwa wakopeshaji!
  10. Mirlz B Matthew

    Kuna ukweli wowote kati ya kuwahi kuamka na kupata mafanikio

    unaweza kupata vidonda vya utumbo....kisa kukariri vitu kama ivyo! Kama ipo ipo tu!
  11. Mirlz B Matthew

    Bilionea Mwengine Apatikana Merarani

    Yule ndo ana nidhamu ya fedha... Ila nahisi ni mtu wa chini....!
  12. Mirlz B Matthew

    Bilionea Mwengine Apatikana Merarani

    Hongera zake mwamba..... Ila Laizer alitisha alipiga billion 7 dah alafu Yuko simpo 2......
Back
Top Bottom