Search results

  1. Prevo star

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Nimekusoma kaka Pascal Mayalla kuna kitu nimekielewa afu kuna sehemu kama sijakielewa. all in all tumtakie mapambano mema ndugu yetu wa Kolomije
  2. Prevo star

    Ushawahi kuuza mechi kwa mpenzi ambae ndo mnakutana kwa mara ya kwanza ?

    Tushapiga sana hizi mambo, Sema magono na ma uti ndo mzozo
  3. Prevo star

    Msaada kwa anayejua biashara ya agent wa bia na soda

    Kwa mfano ukitaka kuwa Agent wa Bia, kwanza kuna kiwango cha mtaji ambacho kinahitajika not less than 100m, pili uwe na eneo la kuhifadhia mzigo, tatu uwe na gari zisizopungua mbili za kuisambazia bidhaa, na pia location iwe haina agent mkubwa mwingine. Lakini kama ni wakala wa vinywaji mdogo...
  4. Prevo star

    Dkt. Tizeba aibua shangwe bungeni akiuliza swali la nyongeza

    Dk Tizeba aibua shangwe bungeni akiuliza swali la nyongeza Note: Katika swali la nyongeza, Dr Tizeba amesema katika jimbo lake kuna visiwa 28,lakini kuna vivuko viwili kimoja kikiwa kimepitwa na wakati na hivyo wakati mwingine kuwafanya watu kuwa na hofu kutokana na kujaa. Amehoji ni lini...
  5. Prevo star

    CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

    Hapana, zingine hazihitaji hisia ya mwanamke
  6. Prevo star

    Wanaume jamani tujihadari..

    Dah! Mzigua90 huo mzigo wako peke yako
  7. Prevo star

    INAUZWA Tunauza matairi ya magari aina yote

    THE WHEEL AUTO STORE TUNAPATIKANA UBUNGO BUS TERMINAL (KULE NYUMA KWENYE MAEGESHO YA MAGARI) KWA MAHITAJI YA TAIRI ZA MAGARI SIZE ZOTE KARIBU TUKUHUDUMIE. 0717438287/0764547024
  8. Prevo star

    Muswada wa Vyama vya Siasa uko tayari. Kusomwa bungeni Novemba 2018

    Kifungu cha 23-25 naona ni mwiba sana kwa vyama vya siasa
  9. Prevo star

    Hii imewezekana vipi? napata taabu kuamini kilichotokea

    Jua hivo hivo kaka, daladala lazim,a tupande wote
  10. Prevo star

    Wanaume Mungu anatuona katika hili

    we jamaa fala sana:):):)
  11. Prevo star

    Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Nilichofurahi ni kuwa manzi alikuja na mzigo ukala, maana asingekuja ungeishia kubaka
  12. Prevo star

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Hapa nadhani ndio pa kumwambia ukweli mheshimiwa, pamoja na mazuri anayoyafanya katiba itamsaidia sana, maana bila katiba imara yeye akiondoka akija mwingine legelege tutarudi kule kule kwenye upigaji
Back
Top Bottom