Search results

  1. LJ BLOG

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    CNG ikifungwa kwenye gari inafungwa na ECU yake na kila kitu chake
  2. LJ BLOG

    Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Kwanza mfumo wa mafuta una nozzle zake ambazo unapotumia mafuta ndio zinatumika lakini mfumo wa CNG unakuja na nozzle zake pia so wakati unatumia CNG kwenye gari basi ni nozzle za cng tu ndio zinatumika kwa muda huo na zile za mafuta zinakuwa hazifanyi kazi kwa wakti huo. So hapo hakuna nozzle...
  3. LJ BLOG

    Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Mkuu Gari hio bei yake mpaka mkononi mwako kasoro bima ni Mil 11.6 Ukihitaji karibu sana
  4. LJ BLOG

    Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Mkuu kwema Kwanza kabla sijakupa details ningependa kufahamu specifically aina ya Hiace unayotaka Hapo inaonyesha ni 10 and Above ambayo ni Commuter ingekuwa vizuri ukanitumia link nikaiangalia then nikakupa mrejesho mzuri Asante
  5. LJ BLOG

    Anaewajua hawa wauza magari tradecarview

    Karibu kwa mahitaji ya kuagiza gari Japan kwa gharama nafuu kabisa Usisite Stress tuachie Sisi na wewe relax kwa maelezo 0712 390 200
  6. LJ BLOG

    Magari mawili yakamatwa yakiwa na namba zinazofanana

    Asante kwa ushauri wako mkuu na Je ni vp kwa Wale wanaotaka kununua gari kwa Mtu ambaye hana faili la gari zaidi ya Kadi ya Gari Tu?
  7. LJ BLOG

    Magari mawili yakamatwa yakiwa na namba zinazofanana

    Habari wanazengo, Naomba Kuleta Hii mada ili mwenye kuweza namna ya kutoa mawazo na ushauri juu ya kuweza kujikinga au kugundua kama kuna mtu ana gari inayofanana kuanzia muonekano mpaka namba za usajili wa Gari lako. Siku kama nne Jirani yangu alikamatwa na Polisi wa Usalama Barabarani Dar Es...
  8. LJ BLOG

    Nahitaji kioo na tachi yake kwa ajili ya simu ya Samsung note 6

    Simu yangu ya samsung note 5 imepasuka kioo kwa ndani na kupelekea kutoonyesha chochote kwahio natafuta kioo full ambacho kinafanya kazi mwenye nacho please bei inbox au hata kwenye comment
  9. LJ BLOG

    Nini kinasababisha Mtu aakituma Maombi ya kazi asietwe haya kwenye Usaili ?

    Kwa uelewa wangu Mdogo. Unaweza kutoitwa katika Usaili kwa sababu zifuatazo 1:Hukidhi vigezo 2:Unavigezo vyote bali wanahisi kuwa unaweza kudemand mshahara mkubwa sana au ukawasumbua 3:Nafasi ulizoomba zimetangazwa tu kama formality. Hapa huwa naamini ishu sio barua wangapi wanasoma barua MaHR...
  10. LJ BLOG

    Taa za Gari mpya VS Used

    Kwa Taa zote za Mbele Isipokuwa fog lights. (Headlamp Only) Karibu sana Nikuhudumie Naweza kukufuata Popote Ulipo Kwa Dar Ambapo Usafiri wake kufika ulipo hauzidi mabasi mawili BEI ITABAKI HIO HIO BILA NYONGEZA endapo usafiri utakuwa ni wa zaidi ya mabasi matatu na bodaboda au mawili na bodaboda...
  11. LJ BLOG

    Taa za Gari mpya VS Used

    Taa zote za gari tena hizi Zinazoonekana ni Plastic ambazo zimetengenezwa kwa material ya polycabornate Zote hata zikiwa mpya inafika hatua zinakuwa na Oxidation, Ukungu, kufubaa, Unjano na kupauka tofauti ni muda kutokana na mazingira Taa Used Au Mpya zote zitakuwa na hali hio. Taa ambazo...
  12. LJ BLOG

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Charges wanaangalia CBM (cubic Meter) Port Charges ya Hiace Peke yake ni Zaidi ya Laki 5 ambayo inafika mpaka laki 6 na kitu na Shipping line ni Dola 80 mpaka 90 kwahio hapa inategemea na gari lakini Most ya Magari haya Saloon na Baadhi ya SUV inaweza isifike huko
  13. LJ BLOG

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Ya Ni Kweli unachosema lengo ni Kuelimishana Na ndio maana nilipopitia uzi wako sikuona shipping line nikakwambia umesahau au mimi sijaona. Na lengo la kusema Mimi sijui shipping line wana calculate vipi kwasababu pale unaponunua gari japan kila kampuni unayonunua wanafanya booking za meli na...
  14. LJ BLOG

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    umesahau na kitu inaitwa SHIPPING LINE Ambayo hapa sijaona ukiiandika
  15. LJ BLOG

    Brevis inahitajika ofa ml 5

    Kupata unaweza kupata ila kwa Muda Gani ndio mtihani Na Pia Unaweza kupata Kama wewe Uangalii NAMBA bali unatazama ubora wa gari Lakini Kama ni Namba unaangalia Utachukua Muda mrefu kuipata
  16. LJ BLOG

    Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Mkuu Escudo ya Mwaka 2006 unaweza kupata Kwa Mil 26.9 na Mwaka 2007 unaweza kupata Kwa Mil 27.8 Bei hizo Zote unalipa kwa Awamu Mbili ya Kwanza Kwa ya Mwaka 2006 Utalipa Kiasi cha Sh 12,901,710 then baada ya mwezi mmoja utamalizia Mil 13,998,290 na Ya Mwaka 2007 pia unaweza kulipa kwa Awamu...
  17. LJ BLOG

    Show room gan naweza kupata gari kama raum kwa bei isiyozid 10m

    Sina Experience ya BMW X5 chini ya CC2000 aisee
  18. LJ BLOG

    Brevis inahitajika ofa ml 5

    Kuhusiana na Crown sina uhakika lakini naweza kudhani zikawepo pia.
  19. LJ BLOG

    Tunauza Magari Used, Spares Used, Magari yaliyopata Ajali.

    kwenye hizo picha hapo nimeona Ipsum new Je Unaweza kunitumia picha zake vizuri na Bei inaendaje?Je ina Injini yake au?
Back
Top Bottom