Search results

  1. J

    Scholarships for tanzanians.

    Habari ndugu, Tafadhali naomba uelewe kuwa IUHS ni chuo chenye hadhi na kwa sasa kina uongozi mzuri ambao umefanikisha kupata wanafunzi wengi kutoka Africa,kwa usemi wako hapo juu umepotosha umma mkubwa kukuita chuo hiki kuwa ni kidogo na hakina waalimu. Chuo kina waalimu wa kutosha wa on...
  2. J

    Scholarships for tanzanians.

    Watanzania hata tusaidiane vipi lakini sisi sio waelewa kabisa,hata kama mtu ana nia ya kusaidia lazima ataonekana tapeli tu, Sasa mimi nikaona ni vema kama kuna nafasi za scholarship ngoja niwatangazie watanzania wenzangu ili nao wajaribu ili tuongezeke lakini matokeo yake napakwa matope na...
  3. J

    Scholarships for tanzanians.

    Naomba muelewe kuwa Chuo hiki kipo kwenye orodha ya vyuo nchini Costa Rica,na kama nilikuapa maelekezo jinsi ya kuapply na hukuridhika na maelezo basi ni bora kuachana na chuo,Mimi ndiye nilikujibu kama kweli uliomba maelekezo, Chuo kinatafuta wanafunzi hivyo ni bora kuwa mstaarabu ili kama...
  4. J

    Scholarships for tanzanians.

    Habari zenu, Jamani naomba kuwaelezeni kuwa mimi ndiye niliyetoa Tangazo la Scholarships katika chuo hiki cha International University for Humanities and Social Sciences,San Jose,Costa Rica. Ninafanya kazi hapa katika chuo na ninaprocess Applications zote kutoka Africa nzima na kuna...
  5. J

    Scholarships for tanzanians.

    SCHOLARSHIPS OPPORTUNITY FOR TANZANIANS The International University for Humanity and Social Sciences (IUHS) Costa Rica (Central America) is pleased to announce the offering scholarships for Undergraduate and Masters Degree to Qualified Tanzanians. THE UNIVERISTY OFFERS: Bachelor Degree in...
Back
Top Bottom