Hiyo technology naamin yawezekana kabisaa, hebu tafuta movie inaitwa fringe Luna mwanasayance katoa majibu ya tech hii, na ukiangalia hiyo muvie uta enjoi mkuu!!! Alafu kujua jua hizi mambo kangalie muvie ingine ingawa maudhui no tofauti na thread yko,muvie inaitwa manifesto!!
Mungu hapendi kutumia neno mtoto wa Mungu,sema mja wake Mungu, ukisema mbowe mtoto wa Mungu fasiri ya haraka ni kuwa mbowe na Mungu ni MTU na mwanae kumbe ni muumba na muumbwa
2. Ukisema Mungu amdhalilishe sirro, nk, basi unampangia Mungu cha kufanya, we omba kwa Mungu sirro atende haki,na hayo...
Pole sana !! Am feel the same pinch u are facing, nilimpoteza mama angu 2 years back,lakin nashangaa maumivu hayapoi kabisaaa!!! Kamakafariki Jana vile!!!
Kutokana na maandiko na imani ya kislam inaonyesha kuna maisha baada ya kifo yanaitwa barzakhan!! Ambapo tutakutana once again na kuishi Ila...
Ndugu ktk forum hii, mwanangu wa like kamaliza kidato cha NNE, na kupata division one point 12, anapenda tokea utoto wake kusomea u-pilot
Kutokana na changamoto ya kukosa ada familia tunaelekea kufeli kumfikisha ktk malengo, je naweza kupata scholarship? kwa namna yoyote, na huku mm am blind...
Unasema wengi huwa waisilamu nasio wakristo! Naona kama ume jump faster to the conclusion .....ni kweli kuna waisilam hudhuria lakin sio kwa kiasi ulichotaka kutuaminisha!!!
sio tatizo yeye kutokuwa muisilam sababu uisilam una idadi maalum ilisha kadiriwa ...kuwa muisilam ni bahat kubwa mno,haipat kila mtu, so yeye kutokuwa muisilam sio jambo la kushangaza ni hana bahat, sababu we jiulize mtoa mada hii unaposema jamaa dhebu lake ni m-protestant maana yake mpingaji...
kwa hiyo uwezo wote alio kuwa nao yesu na miujiza pia ..alishindwa kujua au kupata maono kuwa alichopewa ni sumu ivyo asinywe!!!ye akanywA.....pia kumbe basi yesu alikufa kwa sumu si ndio
mkuu naomba namba yako kwa kweli!!! niweze kukupata whatsup ...ili tujadili hizi mambo....tunachelewa mambo mazur kwa iman za kupandikizwa na wazungu na waarabu!!! mfano jiulize kwa nn bajet ya serikali isomwe hasahasa siku ya alhamis!!! je kuna siri gan juu ya kiti cha ofisini au kiti cha mtu...
je unaweza pata namba na ukamjua huyo alotumiwa hiyo picha, kama unaweza na unaweza hata kuja kutana nae au kwa namna yoyote ukafukua simu ya huyo jamaa ndio utajua kama wapoje!!! tabia yako kama yangu najua unapataje taabu, na kikubwa huwa ni namna gan unampenda mkeo na kiasi gan unawiv nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.