Search results

  1. C

    Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

    Amuache na mimba, amtembelee ikiwezekana hata mara 1 kwa mwaka
  2. C

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Nimeanza kuisoma hii hadithi leo asbh nimejikuta nashindwa kustop mpaka nimefikia hapa! Wee mkali bhana...
  3. C

    Jini wa daraja la Salendar

    Nkhosi Kakulu
  4. C

    Mbele na nyuma wapi tamu?

    Childish again...dah
  5. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Hivi wale MBUZI WA HALAL-BADRI kule Tanga bado wapo hadi leo. Kama unakumbuka mkuu Ally Kombo wale mbuzi walikuwa wanazurura mji mzima na hawaguswi na mtu. Watu walikuwa wanawaogopa kama ukoma! Bado wapo wale?
  6. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    wewe mjanja sana, unanisoma kiaina
  7. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    samahani, sikujua kama wewe KIGAGULA ila usipotoshe watu hapa
  8. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    si kumkumba tu, namfaham! Suala la kuijua Tanga si kwamba naijua tu nimezaliwa Bombo hospital na nimekulia usagara na sahare na kusoma kule up to O-level. Sikatai uchawi upo na c Tanga tu, hata hapo ulipo upo. Ninao mpaka rafiki zangu ambao walishaathirika na halal-badri, ipo ipo sikatai...but...
  9. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Juma Mgunda alikuwa anachezea Coastal Union BosS
  10. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    nyingi ni simulizi tu ambazo hazina uthibitisho. Tanga ni moja ya mikoa mbayo mungu ameibariki vitu vingi vzr... Panafaa kuishi kwani maisha ni rahisi, plan nzuri ya mji nk
  11. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Hili tukio la mpira kupasuka ni true story na nilikuwepo pale mkwakwani siku ile japo nilikuwa bwana mdogo sana. Goalkeeper wa African sports alikuwa SALIM WAZIRI na inasemekana kwamba angeudaka ule mpira ndio ungekuwa mwisho wa maisha yake! Nadhani lilikuwa tukio la kawaida mpira kupasuka...
  12. C

    Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    uko sahihi mkuu...jamaa alikuwa anaongeza chumvi kwenye maelezo yake! Niwasahihishe tu kidogo Pama hakuwa mwembamba, alikuwa ana mwili mkubwa wa mazoezi ila alikuwa na mdogo wake anaitwa MKUSA ndio alikuwa mwembamba! Jamaa walikuwa wababe sana enzi hizo...nyumba yao ya familia ilikuwa pale...
  13. C

    Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Kalagabaho...church bussines hizo mkuu
  14. C

    Wanawake msiende kwa Karumanzila, ukweli ni huu hapa…!

    Waendelee tu kutembea nusu uchi mitaani na kushinda night club...wataishia kuwa vipozeo tu...wale wenye heshima zao wanawekwa ndani hata kama wana sura mbaya
  15. C

    Watanzania Wanauana Wenyewe Kwa Wenyewe Durban

    Watanzania tunatia aibu sana...wapo wengi hata hapa Cape Town, ukiwaona inabidi ukae nao mbali unaweza pigwa roba aisee..
  16. C

    Msichana ananitajia nguo za ndani alizovaa....

    Utoto mwingi humu, ngoja niondoke
  17. C

    January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

    Mawazo mgando...hao ndio wanaojiita wasomi, dah mungu ibariki Tanzania
  18. C

    Sofa zangu zimechafuka!!

    Huu sio msamiati kweli?
Back
Top Bottom