Search results

  1. Kardo Joseph

    Mafuriko Dar es Salaam na Miaka 50 ya Uhuru

    Ndugu zanguni napenda kutoa masikitiko yangu kwa wapendwa wetu wote waliokumbwa na maafa ya mafuriko jijini Dar es Salaam na pahala pengine popote pale ndani ya nchi yetu. Pia niwape pole ndugu na jamaa ambao wamepotelewa ndugu, mali na kukosa mahala pa kuishi kufuatia maafa hayo. Kuna mambo...
  2. Kardo Joseph

    Makubwa - Mbunge ashiriki chakula cha Krismasi na wafungwa

    Naam ni jambo jema kushiriki chakula na watu wenye makosa watumikiao adhabu gerezani! Kama nia ya Mbunge ni njema basi ni jambo la kuigwa lakini kama kutakuwa na hisia za kisiasa pia kutafuta umaarufu (Cheap popularity) basi haitajenga maana miongoni mwa jamii yenye mitazamo ya tofauti kisiasa.
  3. Kardo Joseph

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Ukifuatia mchakato wa uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Igunga uliomalizika hivi karibuni na matokeo yake kutangazwa, inaonesha dhahiri utofauti wa matokeo kwa upande wa mjini na vijijini. Kwa tathimini ya haraka tu tena bila kukaa darasani inaonekana watanzania wengi na hasa waishio...
  4. Kardo Joseph

    Haja ya kuwa na Madaktari na Maprofessor katika shule za Msingi na Sekondari

    Kadri karne zinavyozidi kusogea kumekuwa na mporomoko mkubwa sana wa elimu ya Tanzania. Kuna shule za kata nyingi ambazo zimejengwa hazina walimu wenye sifa za kutosha pia hata mazingira yake kutokuwa kichocheo cha mwanafunzi kujifunza wala mwalimu kuishi na kuifurahia kazi. Tuendako na...
Back
Top Bottom