Alichosem Lema ni sahihi kwa 100%... mchawi akikutendea mema, jiulize mara 100%! siyo kufurahi tu...ukweli ni kwamba akili ya Police TZ ni ile iliyosambazwa siku ya Jumamosi - Kuzuia 'mkusanyiko' pale JNIA kwa gharama zozote ili kumfurahisha bwana mkubwa! nadhani walipewa ushauri 'wa kiwango cha...
Kiongozi wa sasa asingependa kusikia hili ila ndiyo ukweli. wenzie waliotangulia walifanya kazi kubwa kuifikisha tanzania hapa ilipo. tatizo ni kuwa Jiwe anajitafutia na kujijengea sifa 'zilizotukuka' ili ionekane kuwa amewa 'outperform' wenzake wote! huu nao ni ushirikina.
Hawa wakishakula na kushiba ndio wanakuja kutucheulia ushuzi tu.....kwani wamekuwa bungeni kwa muda gani toka bunge hili lianze? mbona kipindi hicho chote bunge halikujadili hiyo bajeti?
1. Takwimu tunazopewa zina maswali mengi.
2. Ni mapema sana kufikia hitimisho hili.
3. Tuendelee kuomba Mungu na kuchukua hatua za kujikinga. COVID19 is real.
*Nimekusoma vema. Ntapita kwa haraka tu kupitia hoja zako!*
1. nimemsikiliza kwa makini sana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, na nimeendelea kukujua kwamba ni *kiongozi anaeujua uhalisia wa wananchi anaowaongoza.*
*Ok. Nadhani unamaanisha uhalisia wa kiuchumi. Well. Vipi kuhusu uhalisia...
Katika magazeti ya leo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amenukuliwa akisema kuwa:
1. jumla ya vituo vya kupigia kura ni 64,736
2. Kila kituo kitakuwa na wapigakura 450.
3. jumla ya wapiga kura waliothibitishwa ni 23,254,485 (22,751,292 (Bara), 503,193 (Zanzibar)
Ukokotoaji:
1...
Rais wetu amejikakamua kujibu swali la Tundu lisu alilouliza juzi kutaka amtaje mmiliki/mhusika wa Richmond. amesema kuwa ni yule anayeongozana na Lisu kila siku kumnadi (ENL). Ninafurahi kuwa sasa mh, rais anaweza kujibu maswali ya wanasiasa na wananchi pale anapotakiwa kufanya hivyo...
Katika mtandao wa tweeter kuna mtu anajiita daudi balali, mtu huyu amekuwa anatweet sana mambo mengi yanayohusu serikali, vyama/taasisi na watu binafsi. Amekuwa akitutukana watanzania sana...amekuwa akitoa kashfa nyingi zinazohusu taasisi hizi...hivi tiss na vyombo vya dola kwani hamjui...
Nchi hii inalilia mabadiliko! ni kama mwanandoa aliyemchoka mwenzi wake kwa vituko vyake na sasa anadai TARAKA. Kapata 'mchepuko' wa uhakika. yuko tayari kuolewa huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.