Search results

  1. Z

    Gari canter tipper limeibiwa Stop over

    Amina, nashukuru ndugu
  2. Z

    Gari canter tipper limeibiwa Stop over

    Asante kwa ushauri wako mkuu, taarifa tayari tumeshatoa
  3. Z

    Gari canter tipper limeibiwa Stop over

    Lilikua parking nje ya nyumba
  4. Z

    Gari canter tipper limeibiwa Stop over

    Yes I biliv kwa kusambaza ujumbe huu mungu atakulipa kwa wema! Ila kwa atakae piga simu na kutusaidia kulipata basi zawadi kwake itakuwepo.
  5. Z

    Gari canter tipper limeibiwa Stop over

    WAPENDWA TUMEIBIWA GARI MITSUBISH CANTER TANI 2 AINA YA DAMPLER MAENEO YA STOP OVER BARABARA YA ZAMANI YA MOROGORO KARIBU NA KWA MBUYEKU. NAMBA YA GARI NI T815DJF. RANGI BLUU NA ANGALIA PICHA HAPO JUU TAARIFA kwa 0754750568 joseph mugyabuso au 0718800537/9754890664 margreth Kyai Mugyabuso...
  6. Z

    Mtoto kutopenda kula, nini kifanyike?

    Kwanza muhimu kufahamu kuwa mtoto wa mwaka mmoja hua anapoteza hamu ya kula, Huanza kuchagua vyakula atakavyokula na akitafuna chakula kidogo huzungusha kichwa pembeni kuashiria kuwa hataki kula tena. Walezi wanaomlea huanza kufikiri labda mtoto anaumwa lakini ukweli ni kuwa kuna sababu nzuri ya...
  7. Z

    Upuuzi wa HESLB tulioko vyuoni

    tunaapply pale kwa first time applicants..kama una computer peleka cursor yako pale kwa waliweka alama ya mshangao(?) utaona wanaotakiwa kuapply pale
  8. Z

    Upuuzi wa HESLB tulioko vyuoni

    Hapo first year hatupo epicauta,wameanzia 2nd year na unajua kundi kubwa la waliokosa mikopo ni sisi! Kwa hiyo wametugeuza vitega uchumi vyao
  9. Z

    Upuuzi wa HESLB tulioko vyuoni

    Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini wanatufanyia ivi lakini? Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data...
  10. Z

    Kila la kheri wahitimu SUA....!!!

    Wahitimu Sua taifa linawategemea katika kila sekta.msiende kukaa mtaani kwa kujibweteka kua ajira hamna jamani..
  11. Z

    degree ya human nutrition

    jamani ajira zilizotoka nutrionist zipo? Help me
  12. Z

    Kwa wasio na mikopo vyuoni tu

    TAHLISO wanasemaje? Tuwe serious na hili jambo,ili vyuo vingine viwe na taarifa
  13. Z

    Habari muhimu kuhusu mgomo wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu tanzania

    yan kama mimi rum yetu wanne wote boomless..tunahasira
  14. Z

    Kwa wasio na mikopo vyuoni tu

    jaman lets us be together..itangazwe siku nyingine ya maandamano vyuo vyote...sua lazima na sisi tuingie barabarani
  15. Z

    Kwa wasio na mikopo vyuoni tu

    mkuu mko sahihi sana..tatizo liko wapi kwa vyuo vingine??
  16. Z

    Kwa wasio na mikopo vyuoni tu

    Hivi vyuo vingine kwa nini hatuwi kama wenzetu wa udsm kutetea wanyonge wenzao? SUA na wengine hebu amkeni,boomless mpo wengi kushinda udsm
  17. Z

    Kawambwa awapigilia msumari walokosa mikopo mwaka huu.

    Hujielewi..kungekuwa na limit humu jf kuhusu watu kama nyingi mnaofikiri na ma**ko
  18. Z

    Heslb Mjiandae,VYUO VIKUU ARUSHA WANAJIANDAA KUFANYA MGOMO MKUBWA WA PAMOJA HIVI KARIBUNI.

    first year tushasahau machungu...kuni mbichi huicheka inayoungua
  19. Z

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    oya jiheshimu basi..unaona ndio umaarufu watu kukutaja wewe tu.
  20. Z

    Heslb ipo kwa ajili ya wanafunzi au kwa ajili ya baadhi ya wanafunzi?

    yani kaka hao jamaa mimi pia wametibua tu waliposema uongo
Back
Top Bottom