Sasa hii kinachotafutwa ni nini? Yaani from 1500 to elfu 20 to laki 2, daaah kunawatu wanapata pesa kirahisi sana na hapo hakuna ulinzi wa gari ukipaki. Au tuwe tunagonga daladala tu
Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
Asante sana kwa taarifa... Nzuri. Hivi mimewashinda nini kuautomate payment mtu akilipa umeme uwake palepale badala ya kuingiza kwenye meter zenu na nyingi mbovu?
I advice you hakuna haja ya kupost this expression here... Mjinga muache na uninga wake.... Ni busara sana kumjua mtu kwa maana hata kusumbua.... Anatuzalilisha sana watanzania huyu jamaa...... Anaichafua hadi Serikali indirectly
Kusimama kwenye Tuta? Sheria mpya hii au unamaanisha kwenye Zebra?? Hapo mimi wangenipeleka hadi kwa RPC sitoi fine.... Police wachache kwa sasa ni wanaforce makosa baada ya watu kuwa wanafuata sheria vilivyo, hata makosa ya toch yamekuwa yakuviziwa sana siyo kama zamani. Na police mikoa mingi...
Is very unfair Tanzania kuiringanisha na Rwanda, umisoma historia vizuri isingekuwa Vita ya kwanza ya Dunia possibly Rwanda na Burundi ingekuwa mikoa ya Tanganyika, sema baada ya Germany kushindwa vita alinyang'anywa sehemu hizo na wakapewa wafaransa kuzihold kwa mda and then Tanganyika...
Kapime kibao cha Impala secondary pale Chalinze, na ile sehemu ya ukikaribia Kibaigwa ukiwa unatokea Mbande ndo ulaumu, hizi hamsini na mistari ya kuovertake mingi imewekwa kimakosa.... 50 ziwepo ila ziwe kama zile za kama Mkoa wa Mwanza, penye shule na centers za vijiji na miji tu, na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.