Search results

  1. Ndetirima

    Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

    Usiweke petrol karibu na moto
  2. Ndetirima

    Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Huyo huyo mradi kuwe na upendo wa kweli kwa pande zote na hofu ya Mungu
  3. Ndetirima

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Ndoa tamu wewe tu usiingie kichwakichwa
  4. Ndetirima

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Unapoeleza inasaidia kujua kumbe ni mambo ya kawaida na yapo kwa wengi. Unajifunza jinsi ya kuyakabili bila madhara.
  5. Ndetirima

    Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Dr Mpango kaenda wapi sijamsikia Mwezi huu kabisa
  6. Ndetirima

    Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Dr. Mpango kwani Yuko wapi jamani?
  7. Ndetirima

    Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

    Duu pole sana. Huyo ni muuaji. Achana naye kistaarabu na muangalie namna nzuri ya kumlea mtoto na upate uhakika wa afya yake pia.
  8. Ndetirima

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Pole, piga kazi. Mungu anakupenda sana
  9. Ndetirima

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?

    Ndio ni mninga
  10. Ndetirima

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?
  11. Ndetirima

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Kumbe, fanya kazi yoyote hata kubeba zege na uzitumie hela kwa utaratibu wa kujiandaa na biashara yoyote ya mtaji mdogo inayolipa maeneo uliopo. Usichague kazi.
  12. Ndetirima

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Chukua mikopo wenzako wote wamekopa wamejenga, wamenunua magari, na usije ukakopa ukazitumia hela vibaya utaumbuka. Watu wanaendesha magari ya mikopo wanakutisha. Kwa kazi hiyo bila kukopa hutoboi.
  13. Ndetirima

    Uke unaweza kuwa na lock?

    Kinachotoka sio ulizomwaga wewe huyo huwa ana squirt unapompatia vizuri tatizo wewe ni bonge la mshamba huelewi hayo mambo
  14. Ndetirima

    Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Kaoa au kaolewa, maana kuna wanaume wanaoolewa siku hizi na manyanyaso wanayopata Mungu anajua. Kama kaolewa na hana maisha bila ya huyo mwanamke, atafute maisha kwanza, apate pesa vinginevyo kijikomboa itakuwa ngumu sana.
  15. Ndetirima

    Nyie mnapata wapi wanawake wa kuwaoa na utajuaje sasa huyu ni wa kumuoa?

    Kweli inabidi utulie kama bado hujaambukizwa ukimwi. Umezoea umalaya ndio maana sasa wote unawaona wa kawaida. Mwanamke mwenye hofu ya Mungu hatakukubali kutokana na umalaya unaoufanya, ndio maana unawapata Malaya zaidi.
  16. Ndetirima

    Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

    Watakifa njaa itakuwa dhambi sana
  17. Ndetirima

    Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Za asili hizo zisikutishe
Back
Top Bottom