Search results

  1. U

    Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda

    kenya are trying to win back wateja waliowapoteza mombasa na kuhamia tanzania in the past 18 months, lakini kuwin wateja si kufungua office tu kigali au kampala au bujumbura au bukavu au goma au lumbumbashi, tanzania wanamalizia kujenga vituo vya pamoja mpakani(one stop border posts) kwenye...
  2. U

    Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

    na kigezo cha kuwa chairman cdm ni kupata div ngapi form 6
  3. U

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    lets think beyond the box here, watever the political involvement on the matter there are key issues here, are the accusations exists? do they ve kids? according to Rose she mentioned that even their official documents at immigrations states their status, if the other part(josephines husband)...
  4. U

    Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

    hivi hili gari si tulilikana au
  5. U

    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

    yaani watu wantetea hili jambo, jimbo la karatu lina wabunge wawili tayari na huyu anakua wa tatu, kiutaratibu chama kilipendekeza majina kwa utaratibu wa viongozi waliojifungia kuamua nani apate na nani asipate, mimi kama mwanaCDM sikubaliani na hii, hii inatoa mwanya mkubwa zaidi wa kuwekana...
  6. U

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    Baada ya kuzomewa Kigamboni, Dk Magufuli alifanya mkutano na waandishi wa habari na kusisitiza kwamba, “Kuanzia Januari, Mosi, mwaka huu Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa), imeongeza viwango vya nauli katika vivuko vyote vya Serikali nchini.” Alisema kwa muda wa miaka...
  7. U

    Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege

    crap!!! eti alivomaliza akampigia simu mukama....hahahah watanzania bwana raha sana
  8. U

    CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

    mie washanchosha, mara maamuzi magumu mara msimamo mzito, siasa tu hawana lolote, washapigwa bao
  9. U

    Sudan's bid to join EAC quashed by Uganda & Tanzania

    The Sudanese government faced a diplomatic setback after two countries rejected its application to join the East African Community (EAC), a newspaper reported today. The Kampala-based Daily Monitor newspaper said that Uganda and Tanzania raised the flag citing concerns over Khartoum’s...
  10. U

    Freeman Mbowe afikishwa kortini

    tanzania kwa kupenda sifa kanumba anajifanisha na denzel Washington Arusha inafananishwa na geneva saa hivi imekuwa bengazi Lema anafananishwa na mandela
  11. U

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    na atakae wahi kuwa kibogoyo utamjua tu
  12. U

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    huo ukamanda wa kukimbia na kuwaacha wanachi wako sujui ni ukamanda gaani
  13. U

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    akili zako wewe umeshikiwa na mbowe ndo maana sasa kama hakukimbia alikuwa wapi?
  14. U

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    akili za kuambiwa changanya na za kwako, kam,a hakukimbia alifanya nini? si alituambia hata waje na mabomu na risasi za moto hakimbii mtu, mbona mwenzie lisu waliekimbia nae kajiwasilisha polisi jana ileile
  15. U

    Uchaguzi wa Igunga haukuwa huru na wa haki! - Freeman Mbowe

    CDM should start thinking n act beyond CCM thinking capacity, tutabaki tunalalamika kila siku n hulka ya mtanzania always ni kutokubali kushindwa na kuaminisha watu tumeonewa, i think we didnt do our research properly, we spent more time kuwaatack CCM na kufaweka effort mjini igunga CCM...
Back
Top Bottom