Search results

  1. Mgongo wa paka

    Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Hii ni nusu budget ya pesa ya $5.8B ambayo spaceX kampuni ya elon musk imepanga kuitumia kuhakikisha starlink kampuni tanzu ya broband internet inayotumia satellite , zaidi ya sattelite 35,000 zatarajiwa kuwekwa baada ya kukamilika kwa ujenzi rocket za falcon heavy ambayo itatumika kuinstall...
  2. Mgongo wa paka

    Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

    njia zuri ni kuwatenganisha kwa magroup wanaomkubali fulani waende upande huu na wana mkubal namba 2 waende kushoto. Hiyo ndo jia sahihi
  3. Mgongo wa paka

    Mbatia ashindwa kuhutubia mkutano Mtwara baada ya kuhofia kipigo kutoka kwa wananchi

    weka ukweli na uhalisia ili twende sawa kuliko kukumbilia kusema udaku,je nikipi kipo huko?nakama alikuwapo na mbatia nia kumnadi mgombea wake we unafanyanini ktk mazingira hayo. Nakwakuwa waliamua liwalo naliwe, kila mgombea asimamishwe.
  4. Mgongo wa paka

    Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

    huu ni uzushi kabisa anatropia hawezi kubali kuachia, kama ni hivyo juma mkumbi kule kigamboni usiachie kirahisi,na cuf ya kigamboni kama mnakubali ukawa asimame cdm mmeliwa kwani. Cdm inayataka majimbo yote mawili ndomana anatropia hawezi jitoa. Nawe juma mkumbi chonde usijitoe. Muende hivyo...
  5. Mgongo wa paka

    Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

    sasa umefanya vizuri yani pamoja na kufanya kazi kubwa ya sana meizidi cuf mitaa mitano,cuf ambayo haijafanya kazi kubwa. Unasifia kuwa mmechukuwa wajumbe kila kata,tunafahamu maeneo yenu mligoma kuweka mgombea wa cuf wa ujumbe maeneo ya cuf, cuf hawakuwa wachoyo walichanganya wakawaweka na...
  6. Mgongo wa paka

    Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

    minashauri wote wasimame jamani kigamboni cuf ina nguvu na juma mkumbi anakubalika hivyo,na wa cdm anataka, tena hawanawake kote wana matatizo, wana tamaa huko kigamboni ni mchadema wakike na hapo segerea mchadema wakike. Basi majimbo yote wasimame wote chuya na mchele zitapembulika.
  7. Mgongo wa paka

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Maandalizi ya kuelekea jangwani ndo sasa toka,maku town. Hapa nakula ziki nene.
  8. Mgongo wa paka

    Kwa ujumla CCM wana vitu vingi sana vya kufanya ili wapate results ndogo sana

    Angalieni ndani ya box kuna kitu gani. Nanini mnakihifadhi haswa ndani cdm, angalieni maisha baada ya uchaguzi baada ya kuwa mmeshindwa. Mchawi ndani ya cdm alio wa hifadhi msimuangalie cuf na zitto na act yake ambao hawamo ndani ya cdm. Mleta mada una angalia maisha wakati wa uchaguzi. Ni sawa...
  9. Mgongo wa paka

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Shule ya mwenge mwalimu shigela,chiboni,maduhu,..,shule ya isike msöna, shule ya kitete mlw masaka,fikirini,... Shengena hoteli pale kitete hospitali washona viatu kina kawawa na kambarage, duka la hassani mkonde pale kwa kina mrua,fundi baiskeli. Ng'ambo kwa juma mzungu, deremsi,mpumuti, kwa...
  10. Mgongo wa paka

    Eti Kidaha anagombea Tabora Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA

    wewe umenena kwani nimemwambia ktk group la tabora ndio kwetu la fb huyu kidaha,na bora angeenda cuf walau angeleta mtikisiko,tamaa zake zina mponza na katu hawezi pata ubunge. Ktk wilaya hiyo. Mtu anayeweza kiulaini kuchukua jimbo la uyui kupitia ukawa ni prof lipumba.
  11. Mgongo wa paka

    Mgawanyo wa Majimbo: CHADEMA waivuruga UKAWA Mtwara

    Nirahisi sana kuwafanya cdm wasipate kura huko mtwara walipo simamisha. Kama wananchi wanatambua kabisa makubaliano hayo. Na mgombea wa cuf kama yuko vizuri. Niswala la kuwajulisha wananchi juu ya usaliti wa cdm wamtwara ni waelewa sana somo la usaliti nirahisi kupenya kuliko somo lile la gas...
  12. Mgongo wa paka

    Maandamano ya Augustino Mrema kuchukua fomu ya Ubunge, Jimbo la Vunjo

    nawewe ulikuwa usingizini,mrema mbunge mara mbili ongelea mara3
  13. Mgongo wa paka

    Ukawa kuweni makini, jimbo la mbarali lina uzwa na ndugu hawa

    Jamani ukawa ni ukawa mambo ya cuf au cdm yanini kama huyo burushi mfanya biashara yuko fit apewe burushi anaweza shinda pamoja ya kwa mba chama cuf hakina mtandao,je huyo ndugu asipopitishwa kura za maoni za ccm je atajitoa majungu hayafai. Cdm yenyewe shahidi imekuwa ikishinda hata sehemu...
  14. Mgongo wa paka

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    kuwatimua kwa lipi baya. Tena lipumba kwakwambia ataendelea kukutumikia chama.don't you see fantastics decisions which cant hurt ukawa. Na ukawa na cuf inabaki salama kabisa vivyo hivyo kwa slaa na cdm na ukawa unabaki salama
  15. Mgongo wa paka

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    unamuelewa slaa kvp na usimwelewe lipumba kvp, kama nawe si unafiki na ubaguzi, lipumba kavumilia mangapi, we unajua kiwango alicho kwazika,?penda kuheshimu maamuzi ya mtu yeyote,iweje maamuzi ya slaa umeona sahihi na isiwe kwa lipumba ili hali wote walishiriki mchakato huu unaondelea. Acha...
  16. Mgongo wa paka

    Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

    Bilashaka ni full tapeli busnes(biashara tapeli)na kaka angu amekuakifanya biashara hiyo muda mrefu tangu 1972,na amekuwa akiifanya vijijini,pia amekuwa akifanya uganga wakitapeli na ramli tapeli,kama walivyo eleza mwingine anaweza tumia mzungu hewa. Inakuwa hivi kunamtu anakuja eneo...
  17. Mgongo wa paka

    Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

    Bilashaka ni full tapeli busnes(biashara tapeli)na kaka angu amekuakifanya biashara hiyo muda mrefu tangu 1972,na amekuwa akiifanya vijijini,pia amekuwa akifanya uganga wakitapeli na ramli tapeli,kama walivyo eleza mwingine anaweza tumia mzungu hewa. Inakuwa hivi kunamtu anakuja eneo...
  18. Mgongo wa paka

    Lowasa sio kiongozi wa kwanza kuhama ccm. Mrema Lyatonga ndie alifungua njia

    kwasasa mkuu nihali tofauti,wao walianza wakaanzisha safari,mrema,maalim seif,prof kighoma ally malima,nakama asingekufa huyu kighoma ally malima,nchi ilikuwa imeondoka maana kulikuwa na mrema anakubalika,malima anakubalika na kama lipumba angeingia wakati kighoma malima yupo hai,sijui balaa...
  19. Mgongo wa paka

    Biashara rahisi ya mtandao

    Hii ni networking busness ni pasua kichwa kwa ujumla haifai ,nahii imetokana na kuangamizwa piryamids system hapa bongo kama ile deci, lakini wanaofanya hii network wanakata kuwa hii ni pyramid schemes, nikiangalia ni ile ile,hebu angalia mi nanunua kitabu kimoja ndo bidhaa kuu(kwahakika kitabu...
Back
Top Bottom