Search results

  1. R

    jamii za kitanzania na ujasiriamali

    Wakinga-umachinga.
  2. R

    Hawa jamaa ni nouma

    Tehe! Tehe! Tehe.nilifikiri jamaa anajibu maswali ambayo hayausiani na swali ili ajioneshe kwamba ye ni tajiri,lakini kuna watu kama hao kama unaongea naye utakuta yeye anaongea vitu haviusiani na mada yenu ili mradi ujue kwamba ana kitu flani
  3. R

    Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    nilijua labda zinahusiana na majin
  4. R

    Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    Jamani mimi mwenzenu naomba kuuliza. Mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewani nikielea. Tatizo ndoto hizi huwa naziota mara nyingi, bora ingekuwa naota mara moja moja lakini zinajirudia. Zina maana gani? =========...
  5. R

    Tanesco hii ni Aibu kwa taifa

    haswaa!! Kweli sisi ni wadanganyika tunaishi TANZAGIZA
  6. R

    Msibani

    Kuna sehemu ulitokea msiba ambapo mama mmoja alikuwa analia sana kiasi cha kuonekana ameguswa sana na ule msiba,lakini baadae watu wakashangaa amekaa kimya halii.wakinamama wenzake wakamsogelea kisha wakamuuliza vipi mbona umekaa kimya, yule mama akasema nimeamua kuweka vibration.
  7. R

    Kweli wewe ni Kichaa

    Kuna jamaa mmoja alikuwa amebebwa kinguvu kupelekwa milembe baada kuonekana ni kichaa,sasa jamaa akawa anajaribu kujitetea: Jamaa: jaman naomba muelewe kuwa mimi sio kichaa kwani naelewa mambo mengi kwa mfano Obama ni raisi wa marekani, simba na yanga ni watani wa jadi hata...
  8. R

    a Lie detector robot

    Tehe tehe tehe
  9. R

    walevi/wanywaji

    Tehe tehe tehe
  10. R

    Huwezi amini,lakini ni kweli!

    Wanaocomplain ni wajinga,hii ni sehemu ya jokes na udaku
  11. R

    Mganga noma

    Kuna jamaa jongoo wake alikuwa hapandi mtungi,basi jamaa akaenda kwa mganga na kumweleza tatizo lake.mganga akamwambia tatizo dogo hili,kisha akampa jamaa kanda ya wimbo wa taifa na kumwambia jamaa akaisikilize,jamaa akashangaa na kumuuliza mganga, hii ndiyo dawa?mganga akasema wewe acha...
  12. R

    Salamu

    Hi all guyz
Back
Top Bottom