Search results

  1. MALI YA BABA

    Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba

    Mmmh! Sijaelewa.... Ngoja nitarudi tena
  2. MALI YA BABA

    Naombeni ushauri, mdogo wangu wa form four kapewa ujauzito

    Dah! Inasikitisha sana mtoto unamgharamia Alf anaenda kufanya ujinga ujinga...... Hapo nenda Kwa mkuu wake wa shule atakupa maelezo vizuri... Baada ya hapo nenda hata kwenye ofisi za ustawi wa jamii, na badae police upate RB.... Tumtafute huyo fataki apigwe 30 kwanza sio vizuri kuwaharibia...
  3. MALI YA BABA

    Sheikh Mkuu wa Dsm ahudhuria ibada Kanisa la Ufunuo, asisitiza umoja na mshikamano kwa Watanzania

    Alipofariki yule Shekhe mkuu.. Mufti Issa Shaaban Simba.. Nilifikira huyu jamaa ndiye angekuchuka nafasi... Huyu Shekhe huwa namkubali sana kiukweli... Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu zaidi ya kuendelea kuifanya kazi yake vile impasavyo yeye
  4. MALI YA BABA

    John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

    Mbowe mwenyewe ameshachoka na chadema ukimwangalia tu hana mbinu mpya tena za kuongoza chama...... Ndiyo maana ilitakiwa awaachie vijana mapema waje na fikra mpya za kuendesha chama.... Chedema kuanza upya si ujinga...... Anzeni kwanza kutengua uteuzi wa huyo Katibu mkuu wenu.... Maana...
  5. MALI YA BABA

    Ndugu hawa wako wapi?

    Kwa kuongezea tu..... Ezekieli wenje, James Lembeli, David Kafulila, Wasira, H. Kiwia...... Felix Mkosamali
  6. MALI YA BABA

    Sherehe za kidini mgeni rasmi kiongozi wa nchi isiyo na dini!

    Duuu! Mkuu yani ulikaa kabisa ukaanza kutapye na kutuma humu ndani watu tuanze kujadili na hili?.....your not serious aisee!
  7. MALI YA BABA

    Mufti mfikishie salamu zetu Mh rais atapofika kama mgeni rasmi katika hilo baraza la Eid...!

    Asante sana nimelipenda hili jibu nimejifunza kitu hapa..... "yakija yapokee ukiyakosa usuhuzunike sana"
  8. MALI YA BABA

    Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Katika Vitu ambavyo Mwenyekiti Mbowe kachemka tena sana ni huyu bwana katibu mkuu huyu jamaa hafai kabisa hata hajulikani kabisa yupo wapi..... Viatu vya Dr Slaa ni vikubwa sana Kwa huyu jamaa.....
  9. MALI YA BABA

    Hebu mjue shitambala....ni hafai kabisaaaa

    Huyu Jamaa nilivyokuwa Mbeya nilisikia sana story zake.... Jamaa anaishi kimbinu mbinu sana kesi kibao nasikia anapigwa chini..... Kuna jamaa wakawa wsnahoji labda alifanya magumashi kwenye vyeti au ndiyo zile elimu zetu tunasomea mitihani tu.... Kashfa nyingine anaukabila sana huyu jamaa...
  10. MALI YA BABA

    Jeshi la Polisi Tanzania, wakati wa kuondoa zuio lenu umewadia. Tafadhalini ondoeni!

    Yani jamaa sijui kapiga viloba vyake kaja navyo humu. .. Ustarabu F.. Kabisa utafikili kalizimishwa kukomenti...
  11. MALI YA BABA

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare alazwa Hindu Mandal

    Duh! Pole sana Lwakatare tunakuombea kheri upone haraka.....
  12. MALI YA BABA

    Utafiti: Zaidi ya asilimia 87 ya wanaume huwa hawasafishi mikono wakitoka haja ndogo

    Mhh! Aisee umenifikirisha..... Kuna ukweli Hapa aisee
  13. MALI YA BABA

    Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!

    Mmmh! Ndiyo maana kaupata ukuu wilaya
  14. MALI YA BABA

    Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Usiapply online.... Wewe ukishafungua tu tazama hiyo nafasi ya kazi... Tafuta contacts za hiyo kampuni au ni nini.... Fanya application yako
  15. MALI YA BABA

    Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hongera Mh. Waziri.. Maoni ya wadau yamefanyiwa kazi..... Sasa cha ajabu serikali ilivyotangaza tulilalamika Kwamba kutakuwa na ugumu kwenye hilo.... Serikali imesitisha watu wanalalamika tena sijui huwa tunataka nini mda mwingine...
  16. MALI YA BABA

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu bendera yao!

    Kabla ya Hilo Kwanza watuambie Mbunge wetu na kijana wetu John Mnyika yupo wapi? Alf ndo yafuate hayo ya kuweka hiyo mikono ya mabadilko waongeze na picha ya Lowasa kwenye bendera...
  17. MALI YA BABA

    Justice For Mnyika

    Inaumiza sana kuona mtu kama Mnyika anapotea kirahisi hivi Mnyika ni hazina kubwa sana Kwa Taifa....... Mnyika sio mtu wa kukaa kimya hivi asitoke neno lolote Kwa yanayoendelea hapa nchini.... Chadema na Simba kama Baba mmoja hivi matumbo mbali mbali.... Unamwacha Tabwe unamchukua Serunkuma...
  18. MALI YA BABA

    Gabrieli Jesu, huyu Dogo ndo mrithi wa Ronaldinho pale Brazil

    Mmmh! Gaucho si rahisi hivyo.... Hao wachezaji wa kuwaangalia kwenye YouTube hovyo kabisa... Hakuna kama Gaucho ulimwengu huu na itakaa mda mrefu kumpata Gaucho mwingine... .
  19. MALI YA BABA

    Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

    Japo Mi ni mshabiki wa CR 7... Mess hatari sana jamani khaaa! Na si wengine ambao atujawashuhudia wakina Pele na Maradona ni fahari kumshuhudia Mess akicheza,CR 7, na Gaucho
  20. MALI YA BABA

    Katibu mkuu CHADEMA Dkt.Vicent Mashinji kuhudhuria kongamano Ujerumani

    Huyo jamaa tangia kaingia hana lolote alilofanya..... Kazi kuzunguka tu! Dr. Slaa tutammis sana hakika kwenye harakati za chama! Ndiyo maana hata Mnyika kaamua kuwa zake kimya tu siku hizi!
Back
Top Bottom