Search results

  1. Herry JM

    VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

    Ila yote haya yanamwisho wake. Ziko wapi tawala za kibabe now? Zote zimeishia kupotea, hata hawa Askari pia wanajua ipo siku nao watawajibishwa tu. It takes longtime for true democracy to be practiced, more injuries and casualties usually happen on the way to reach a true democracy.
  2. Herry JM

    Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

    Kama mnaona K-Lyn na Mzee Machache tu, what about Robert Mugabe (90) and Grace (48)??
  3. Herry JM

    Picha na Habari: Rais Kikwete akifanya Mazoezi ya viungo

    Huyo Ni personal security guard
  4. Herry JM

    Wakazi wa Dar tukatwe 2,000/= kila mwezi kwenye line!

    Nakubaliana na wewe. Public servant anakatwa hadi 26% ya mshahara.
  5. Herry JM

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Mbona maaskofu waliotajwa ni wengi, sijaelewa kwa nini mtoa hoja amemvaa Kilaini peke yake. Hao maaskofu wengine vipi???
  6. Herry JM

    Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

    Nyimbo ipo bomba. Mwacheni kijana aipaishe Bongo Flava ktk anga la kimataifa
  7. Herry JM

    Walioagiza magari SBT Japan Co. Limited

    Kulipa kwa gari inategemea na ulipoinunua ilikuwa na mileage ngapi AU imetumikaje kabla AU ilishawahi kupata ajali au la. Kwa X-trail jaribu kutafuta yenye mileage chini ya 110000km. But Zaidi ya 150000km sikushauri uchukue itakusumbua.
  8. Herry JM

    Zingepatikana namna hii...!!!

    Tehe teheeee then electricity could be very expensive!!!
  9. Herry JM

    Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

    FT kagera 1-0 Yanga
  10. Herry JM

    Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

    Hizo ni fitna za kiumaarufu. Ukitaka kumpaisha mtu ni Lazima utumie mtu ambaye ndio star kwa wakati huo. Hivyo hii ni mbinu ya kundi linalotaka Ally Kiba arudi ktk chart, sasa wameona sokoni kuna mtu anayetamba. Njia Pekee ni Kutumia njia ya dharula kama hizi. Cha kufanya ni team Diamond Lazima...
  11. Herry JM

    Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

    Nadhani hawajui hii ni gari imara kiasi gani ndio maana wanaona ghali.
Back
Top Bottom