Search results

  1. kakakuona40

    MBOWE: Mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM: Je ni dalili ya kuishiwa SERA?....

    correction kidogo: Walipinga kuchukua posho, kisha wakaendelea kuzivamia tena kwa fujo! nafikili hapo ndo kipimo kilipo!
  2. kakakuona40

    Mapungufu ya Zitto kwenye Kampeni za CHADEMA ni yapi?

    Unawezaje kupost wakati umepigwa BAN?
  3. kakakuona40

    Ccm yawakusanya wachungaji wa meru gate way leganga hatari hatari

    Kama una presha andaa na VIDONGE kabisa mana april 1 huenda ikawa juu.
  4. kakakuona40

    Ccm yawakusanya wachungaji wa meru gate way leganga hatari hatari

    Habari ya kutunga utaijua tu!
  5. kakakuona40

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Tena bora fisadi tuliomzoea kuliko Fisadi mpya, we huoni ITV wamewashitukia CDM, ITV walikuwa watetezi wakubwa na CDM katika coverage zao ila inaonekana Dr. Mengi, kashitukia anaingia KING.
  6. kakakuona40

    Chadema yakubali kushindwa tarime?

    Asante sana mkuu kwa taarifa: Kweli hali si nzuri hata kidogo na soon itakuwa historia, sisi tulikupenda ila bwana kakupenda zaidi.
  7. kakakuona40

    MBOWE: Mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM: Je ni dalili ya kuishiwa SERA?....

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA alisema ARUMERU huku akimpigia debe mgombea wa chama chake kuwa mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM , watu wengi hasa washabiki wa CDM wameanza kuitumia kauli hii bila kujua alitoa wapi vipimo hivyo hili limenisikitisha sana. Kiufupi...
  8. kakakuona40

    Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

    Ubungo gani unaishi mwenzangu maana ubungo kubwa! kazi gani mnyika anafanya sisi ndio tupo kwenye jimbo hatuoni chochote ila tunamuona kwenye kukiimarishs chama, kuwa mkweli ndugu yangu HALI SIO NZURI ubungo. nimewaambia nionesheni kafanya nini na ushahidi tuone, anawaambia wananchi tuandamane...
  9. kakakuona40

    Balali yuko HAI - He is not dead

    MOD naomba umpe BAN huyu katumia lugha hatarishi katika jamvi.
  10. kakakuona40

    UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

    Nasikitika sana vijana wa CDM kujibu kwa hasira post ambayo haiwahusu, huu ni ushauri kwa CCM. vijana hao hawajui hata sera maana yake nini, CCM ingawa sio chama changu inajivunia watu wazima na wakina mama ambao ni nguzo imara na makini, hawarukupuki kufanya maamuzi wanachambua na kufanya...
  11. kakakuona40

    UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

    ntake radhi kaka, mimi sio ccm wala cdm.
  12. kakakuona40

    Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

    Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo...
  13. kakakuona40

    UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

    Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010 Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba...
  14. kakakuona40

    Ofisi ya Mbunge yavunjwa na kuibiwa kompyuta na nyaraka

    Hujawa na taarifa bado,sio busara kupost jambo usio na uhakika nalo! ILA Ninasuspect watakuwa CDM hao ila sina ushahidi ninashuku tu! nawaomba polisi waanze na hiki chama maana kinatupa shida sana mitaani.
  15. kakakuona40

    Mapungufu ya Zitto kwenye Kampeni za CHADEMA ni yapi?

    Kaka tunajadili post sio maoni ya kipima joto. pia uwe unapitia pitia ITV kuangalia vipimajoto vinavyoendelea.
  16. kakakuona40

    Mnyika ahamasisha wananchi wadai maji

    Hali si nzuri hata kidogo UBUNGO, mbunge wangu Mh. Mnyika keshapoteza dira ingawa siipendi CDM ila nilimchangua yeye na anabakia kuwa muwakilishi wa jimbo langu, Hatumtaki hata kumsikia huku jimboni kwa sasa na ninakuhakikishia asijaribu kugombea 2015, ameimarisha chama akabomoa jimbo lake...
  17. kakakuona40

    Kero za dressing Moi Muhimbili

    Dressing chama gani? kimesajiliwa?
  18. kakakuona40

    Mapungufu ya Zitto kwenye Kampeni za CHADEMA ni yapi?

    Zitto ni smart politician, hachafuliwi kwa gharama ndogo hata kidogo, yuko makini na hata crituque zake kwa serikali zina ushahidi wa kutosha, wanaomchukia Zitto ni sababu binafsi na si vinginevyo. hamtafanikiwa Namuunga mkono Peter kuga mzirai uraisi 2010.
  19. kakakuona40

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Naomba mjadala wa balali ufungwe. Watanzania hatuna destuli ya kuwasema vibaya watu waliotangulia mbele ya haki.
Back
Top Bottom