Search results

  1. H

    Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Jaji Makungu sasa ni jaji wa mahakama ya rifaa tanzania.kwa Zanzibar anaekaimu nafasi ya jaji mkuu ni Mh Khamis Ramadhan
  2. H

    Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

    Mwalimu alikiwa na maono ya mbali.kweli kabisa hao wanaopiga kelele za kutaka magufuli aongezewe muda ni kwa ajili ya maslahi yao
  3. H

    KWA UFUPI - Mapendekezo ya ACT Wazalendo kuhami Uchumi wakati wa #COVID19 Tanzania

    Bila shaka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

    Tayari amepelekwa isolation centre na hali yake sio mbaya kama inavyosemwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    Tanzia: Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amefariki dunia

    Jaji Mkusa Issac Sepetu amefariki dunia leo asubuhi,na maziko yalifanyika kijijini kwao Mbuzini,Mungu amlaze mahala pema peponi,Amin Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    Kilimanjaro VII yawasili Zanzibar leo

    Bakhresa aingiza boti nyingine ya Kilimanjaro VII leo.
  7. H

    Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Ila kwa nini wakati wanapopatikana ama wanapoonekana hawasemi nini kiliwakuta
  8. H

    Mahakama ya mkoa Vuga imetupilia mbali ombi la dhamana ya Hassan Aboud Talib (Kiringo) hadi tarehe 13 Machi 2018

    Mahakama ya mkoa Vuga Zanzibar imetupilia mbali ombi la mshtakiwa Hassan Aboud Talib aka Kiringo anayekabiliwa na makosa mawili, moja likiwa ni kutorosha na jingine kulawiti. Amerudishwa rumande hadi tarehe 13 March 2018 kesi yake itakapotajwa tena. === Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Mjini...
  9. H

    Vuga, Zanzibar: Hassan Abuutwalib 'Kiringo' afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti

    Mtuhumiwa wa ubakaji wa mtoto wa miaka 13 Zanzibar amefikishwa mbele ya mahakama ya mkoa Vuga ambapo amepelekwa rumande mpaka kesho ombi lake la dhamana litakapotolewa uamuzi. Kiringo alitiwa nguvuni kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mtoto wa miaka 13. Zaidi soma => Mtumishi wa TRA, Hassan...
  10. H

    Malalamiko kwa ZRB

    Hii idara baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu.karibuni imetokezea malalamiko ambayo yapo mazizini police watu wameuziwa magari na mtu ambae sio owner wa magari hayo.jamaa alikuwa anakodi magari baadae anaenda zrb anatengenezew kadi ya umiliki ambayo inampa uwezo wa kuweza kuuza magari...
  11. H

    Rais Magufuli ateta na Humphrey Polepole na haya ndio aliyosema

    Ni kiongozi nzuri Dk Magufuli.mungu akutangulie na akupe wepesi katika kulitumikia taifa lako.amin
  12. H

    Ni sehemu gani Dar wanauza iphone kwa bei rahisi?

    Ni sehemu gani Dar wanauza simu original na ambazo ni rahisi kama iphone 8 na 8 plus na menye kujua bei anijuilishe. Nawasalisha
  13. H

    Tofauti ya iphone 8 na 8 plus

    Jee kuna tofauti gani kati ya iphone 8 na 8 plus.yaani kuna vitu ambavyo waweza pata kwa 8 plus na 8 ikawa havipatikani.na mwisho kimatumizi ipi ni nzuri kati ya 8 na 8 plus.nawasilisha
  14. H

    Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Achana na huyo mke wako.mana hata alipokimbilia hupajui may be yupo kwa huyo huyo jamaa.hana nia njema na wewe.
  15. H

    Morogoro: Wabunge wa CHADEMA warudishwa rumande, hakimu anaumwa!

    Mnaoyafanya hayo mateso kwa wengine kumbukeni nyakati zinabadilika
  16. H

    Fahamu SIFA za mwanamke wa kuoa

    Mia kwa mmoja wanawake wa sasa wamejawa na tamaa kupindukia
Back
Top Bottom