Mambo mengine bwana sasa wewe shangazi yako unamwambia akuthaminishie mke
inamaana ulitaka majibu mawili mzuri au mbaya ndo hivo sasa kakwambia kama bundi......unamlaumu nini
kwani wewe lengo lako ninini baadaya kuthaminishiwa mke kwaufupi hauna uhakika naye au vipi
bs anti yako huo ndo...
Wajitahidi kufanya utafiti ili hata tunapokuwa na mimba vichefuchefu wajisikie wao tu
yaani nadhani Dunia itapendeza kweli
Sasa hapo Haki sawa itakuwa imetendeka kiukweli.
mmezidi kulalamika jamani kwani kutongoza lazima
kama unaona unafilisika unaweza kupiga kimya,halafu angalia maisha hayaendi au yanaenda
msitupe shida sie..................hiki ni kizazi cha dot.com kama hujui.
dhana hii iendelee mara mia
ndo njia pekee ya kukomesha kutongoza ovyo
hv huwezi kupiga na mtu stori yakaishia hapo mpaka communication
umefukuzwa kijanja kijana.
inaonyesha unampenda sana eeeh!!!!!!! muombe tena msamaha kwa mara ya pili akigoma na wewe uchune kimya kam wiki hivi halafu angalia kama ana wazo na wewe au lah..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.