Search results

  1. N

    Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Hivi alijuaje habari za huyo mama?
  2. N

    Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Wewe labda ni mmiliki wa shule ambaye unaangalia faida tuu au huna mtoto.
  3. N

    Mama mkwe ni msumbufu, nimechoka. Nifanyeje?

    Kwanini anawahi kurudi nyumbani? awe anachelewa akute wameshalala
  4. N

    Rais Magufuli atoa dola 20,000 kusaidia matibabu ya Ruge Mutahaba mkurugenzi wa CMG

    Mungu amtetee apone mapema. Ila mtoa mada kwanini unashusha pesa yetu dhamani hivyo?? Dola 20,000.00 mbona hazidi milioni 46? hizo million 50 umetoa wapi?
  5. N

    Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

    Kumbe mmeshahama kwenye marathon??
  6. N

    Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

    Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuu
  7. N

    Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

    Mkuu unamaanisha huyu jamaa asifanye kazi ingine ni mazoezi tuu?Kumbuka mambo mengine yanatakiwa yaendelee pia. Afanye mazoezi kiasi na control aina ya chakula atapungua tuu.
  8. N

    Hivi JWTZ na JKT kazi yao ni nini sasa?

    Yaani wameshindwa hata kuomba msaada nchi jirani? Kama nchi haiwezi kusaidia wananchi wake sehemu kama hizi itakuwaje?
  9. N

    Nyumba ndogo rahaaa tupu

    Ugali kama umeoshwa na sabuni? Aisee sili huu ugali, hapo lazima usaidiwe tuu
  10. N

    Kwanini nanunua LUKU halafu nalipia VAT, REA pamoja na EWURA?

    Ni bora ukae kimya kama hujui kitu. Si bora hta unge google upate uelewa?
  11. N

    Kwanini nanunua LUKU halafu nalipia VAT, REA pamoja na EWURA?

    Pesa unayokatwa kwenda REA ndo inatumika kupeleka umeme vijijini. EWURA ni regulator wa umeme na maji, hivyo anapata pesa ya kujiendesha kupitia hayo makato.
  12. N

    Nauza Gari aina ya Harrier old Model

    Mkuu umeuliza lakini sokoni ni shs ngapi? Hiyo ni bei ya kuagiza Japan harrier used
  13. N

    SOLD: Nauza shamba langu Kilimanjaro heka 1.5

    Barabara ya Afrika mashariki inapita wapi hapo?
  14. N

    Mke wangu amewasha kibatari chumbani kwetu siku ya tano leo hajazima masaa 24

    Kibatari kinawashwa nyumbani mwako, wewe unakuja huku JF kuomba msaada. Unamuogopa mke wako?kwanini usizime?wewe ni mume wake kweli??Aiseee hizi familia hizi.....
  15. N

    Msaada: Msichana anakoroma balaa!

    labda analala vibaya hapati hewa ya kutosha. Badilisheni mfumo wa kula, kuleni chakula kabla ya 2, then mnakaa kama 2hrs kabla ya kulala, anywe maji mengi
  16. N

    Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Bank of Tanzania: Financial Markets - Treasury Bills Auction Summary
  17. N

    Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Acha uongo mtoa mada, onesha umetoa wapi information zako. Unajua kweli kusoma taarifa za fedha?
  18. N

    Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Ni vizuri ukawa na msimamo kama baba wa nyumba. Usipoangalia mchungaji ndo atakupangia kila kitu.
  19. N

    Utata wa ndugu yangu kutoka Sumbawanga

    Nenda kwenye maombi ndugu
Back
Top Bottom