Search results

  1. B

    wingu kubwa mjini nini chanzo

    Hata huku Arusha limeonekana maeneo ya kikatiti nimejaribu kuwauliza wenyeji wakanambia ni vumbi na ni kwel nimelishuhudia vumbi jingi sana likitokea maeneo ya KIA
  2. B

    Nchi haiendeshwi na mitandao ya kijamii!!-Salva Rweyemamu

    Hivi ni kweli Rweyemamu anaamini maisha ya mtanzania yanakua mazuri kila kukicha, kama serikali inaamini ivo kupitia kwa msemaji wake basi watanzania tuelewe ya kuwa serikali yetu haifanyi chochote kututoa katika wimbi hili zito la umasikini
  3. B

    Unaweza kuanzisha uhusino kwenye mitandao ya kijamii?

    naitwa derick kasim natafuta mpenzi kuanzi miaka 18-21 nitafute kwa kutumia 255785764488 kwenye cm au facebook
  4. B

    Unaweza kuanzisha uhusino kwenye mitandao ya kijamii?

    naitwa derick niko bkb natafuta mpenzi wa kuwa 2nachat nitafte kwa kutumia 255785764488
  5. B

    Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

    Naunga mkono, lakin pamoja na kurudi kuwashukuru hao elf 22, uongozi wa chama pia uweke mikakati madhubuti ya kujiimalisha vijijini
  6. B

    Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

    Haijarishi sh ngap imetumika huko, kwa kura walizopata CDM ni ushindi tosha kwn kulikua hakuna ngome yoyote pale, lakin ujumbe umefika kwa CCM kuwa mwisho wao umefika na sisi vijana tunaiunga mkono CDM Kwa moyo wote, we hope one day tutafika.
Back
Top Bottom