Search results

  1. Abdillahjr

    Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

    Una utani na washauri wa Jepesi,me sitaki barn bwana kwa kukuunga mkono hoja kwani sina extra id ya kuvinjaria Nakupigia barn!!!
  2. Abdillahjr

    Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

    Funguka Mkuu,au unatumia laptop ya Mbunge na hujui kufuta history?!!! Refer slogan ya jf ingawa siku hizi imechakachuliwa!!
  3. Abdillahjr

    Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

    Na sasa anacheza reality series ya usafirishaji wa nafaka aina ya "sembe marufuku" huko China baada ya kufanya vizuri kwenye she got a gwan ya Ngwair,Nataka kulewa ya Diamond na kuwa na jina zuri la lady Boss!!
  4. Abdillahjr

    Wabunge 15 waliokula Posho bila kusafiri Matatani

    Zitto bwana,CCM watasema anaonewa na CHADEMA!!
  5. Abdillahjr

    Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

    Zile dolali million kadhaa kutoka kampuni ya madini ya makaburu kwa ajili ya kaka yake zinampa ujeuri!!!
  6. Abdillahjr

    Dr Alex, Msaidizi wa Zitto Apigwa na Kujeruhiwa Vibaya Tegeta!

    Zitto siasa unazozifanya sasa ni za kipuuzi,kila mwanasiasa mwenye jina akitumia ukabila itakuwaje??!! Soon utaanza kuhubiri udini halafu kuna mijitu inakuita msomi na una akili!!! Hakika inazidi kutamalaki kupitia matendo yako na wenzio kuwa wewe ni mzandiki!!!
  7. Abdillahjr

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    Ndio new jf hii,sipati picha 2015 kampeni zikianza itakuwaje,wengine itabidi tuhamie MMU kuepuka kufungiwa hovyo kwa kusema ukweli usiopendwa na wenye funguo na wadau wao!!
  8. Abdillahjr

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    January na wanasiasa wengine wenye uroho na madaraka na ukwasi waache kuwafanya Watanzania wote ni wapumbavu kwa kuweka kakipande hariri na pia ipo wazi kabisa kuwa wapambe wa January wanaotumika na kusherehesha vikao hivyo vya kuvizia madaraka ndio huanza kuongea kwa kumwombea mtu wao uungwaji...
  9. Abdillahjr

    Picha: Kukamatwa kwa maiti Morogoro na madawa ya kulevya

    Hii nchi imekuwa kama ya kimafia na uhuni umekubuhu na huenda ni kweli watawala wanafanya hii biashara kama Kapuya alivyonukuliwa kuwa watoto wao wanauza sembe la Pakistan na Brazil na hakuna wa kuwakamata kwani wao ndio wenye nchi hii!! Kikwete na utawala wako wakin!a Said Mwema inabidi mbebe...
  10. Abdillahjr

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Sasa wewe wa godauni sijui yard ndio unaua band!!! Kuna sheria kule Zenji kuwa wanaume wavaa hereni na cheni wakamatwe- Le mutuz na vidani vyake aishie kupigia picha huku huku bara maana zenji watambonya kizenji kwa kuvunja sheria!!
  11. Abdillahjr

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Le mutuuzi kwa hizi picha ni aibu na umri wake,maybe nae yupo kwenye mzunguko wa deal,sipati picha na "freezer" lake angebugia tembe elfu ngapi!!!!!
  12. Abdillahjr

    Sheikh shariff mtoto aliyetikisa kwa ufahamu wa q'uran tukufu aokoka.

    Mambo ya dini bwana,ukitathimini maneno ya maisha na mateso yake toka kwa majini utaishia kukufuru tu!!!!
  13. Abdillahjr

    Atakae tembea nusu uchi Zanzibar kukiona

    Mkuu una utani wa ukweli na ngumi!!! Usijeambiwa na wewe umebaka na kulawiti vitoto ukishirikiana na ndugu zako ili uhamie Segerea!!!
  14. Abdillahjr

    Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

    Mtaani kwenu haikupita operation Kimbunga au unabonya keyboard ukiwa Kivu mkuu??!! ( Kiding)) Ila sijaelewa hicho kilingala!!
  15. Abdillahjr

    Vijana wa CHADEMA JF mna dharau sana, itawa-cost

    Mkuu usipotoshe kwa kukata kipande cha sentence na kuacha mantiki nzima,si tunaenda kwa hoja na demokrasia ndio msingi??!!
  16. Abdillahjr

    Vijana wa CHADEMA JF mna dharau sana, itawa-cost

    Kama hakika Mkuu wewe ni muumini wa demokrasia na kweli basi kwanza jibu maswali yangu kwani nimeanza kukuuliza na pia ukweli upo wazi kuwa thread yako imelalia kwa nani japo hujamtaja kwani humu hamna mtoto anayebonyabonya keyboards/burton kama toy ya mtoto,Mkuu majibu tafadhali kwani...
  17. Abdillahjr

    Vijana wa CHADEMA JF mna dharau sana, itawa-cost

    Kama hakika Mkuu wewe ni muumini wa demokrasia na kweli basi kwanza jibu maswali yangu kwani nimeanza kukuuliza na pia ukweli upo wazi kuwa thread yako imelalia kwa nani japo hujamtaja kwani humu hamna mtoto anayebonyabonya keyboards/burton kama toy ya mtoto,Mkuu majibu tafadhali kwani...
  18. Abdillahjr

    Vijana wa CHADEMA JF mna dharau sana, itawa-cost

    Mkuu bora ya hao verified users ids wanaotoa mawazo yao waziwazi kuliko watu kama Tamu Chungu,Mkigoma,Ifeero,Adharusi etc ambao wanatukana viongozi wa CHADEMA kwa kujificha kwa chaka la fake ids na ambao dhahiri ukiangalia wanamtumikia Zitto! Leo Zitto anahubiri ataenda kokote kwenye...
  19. Abdillahjr

    Pinda: Nitazungumza baada ya sikukuu

    Huyu Pinda kama ni msafi na mpenda uchapa kazi alipaswa kujiuzulu miaka mitatu iliyopita kama kukaa mbali na utawala ambao unalalamikiwa na hata na chama tawala chenyewe!! Mabaraza yanavunjwa kwa kashifa,waziri mkuu yupo,anapinga matumizi ya mashangingi wakati waziri Mkuu nae ana...
  20. Abdillahjr

    Nani anayegharamia mikutano ya Zitto inayoendelea?

    Someni MAWIO la leo 26 December na muunganishe dots,kila kitu kiko uchi,ila Zitto ana roho ngumu au tuite ujeuri??!! Sioni hata chembe ya elimu yake katika utetezi wake na hata mbinu sana sana anazidi kujianika na kuaibika!! Sishangai akifukuzwa CHADEMA kwani anasitahili,sitashangaa akienda CCM...
Back
Top Bottom