Kitabu Kitakatifu Cha BIBLIA:Chuo cha Nabii ISAYA Mlango wa 33 Kifungu cha Kwanza 1: Imeandwikwa!: Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila wala hukutendewa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwishwa kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe.
CCM Mmetutenda...
ingia kwenye Mtandao wa Mashirika Bora kupitia CIA ya Marekani nawe utaona wanakupa Number Moja ni Mossad kutoka Israel na toka Imeanza dunia Hakuna aliyewahi Kuweza kufanikiwa kupata walau hata Chembe za Siri zao!
Kwa Faida yako hawa jamaa ndio waliofanikiwa Mpaka sasa Kumkamata Saddam...
Gamanywa huwezi kumtofautisha na Mama Rwakatare! Maana wote ni Matapeli tu! Tena ni wataalamu sana na Siasa za Makanisa juu ya Miradi Ndani ya Makanisa!
Gamanywa haki ya kimsingi anayo juu ya kutafuta pesa kwa ajili ya Maisha ya familia yake but si Kulazimisha masuala ya Binafsi na...
Muosha Huoshwa! Waijua hii Methali ?.
Fanya bidii sana kutafuta haki na si Kutenda Matendo ya Hila Ndugu yangu! Maana siku zote ukijua Kutoa wenzio nawe pia utatolewa! Na Pili sijaona sababu ya wewe kujisifu sana na Elimu uliyonayo maana wakati wa kujisifu umepita na Kinachoangaliwa angaliwa...
Kuna siku niliwahi kuandika Neno kamili kama Biblia ilivyoandika kwenye Kitabu cha 1 WAKORINTHO:Mlango wa 6: Mstali wa 9:Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala...
Lowasa! Ni Mwanasiasa anayeweza Kazi za Kiutendaji na Kidiplomasia pia ni Shupavu! But mimi Nakubali Maamuzi na Mtazamo wake Juu ya Taifa Letu la Tanzania!
Tatizo la Lowasa ni Mwizi na Kiongozi asiyejali Wengine! Maana Hakuna tatizo kama kukosa Uaminifu kwa Watanzaniia Ml 40.
Sitta ni Kiongozi Makini na Muelevu! Tatizo lilopo ni kuwa Mpaka sasa Mapacha watatu wanatambua Sitta anakubalika kati ya walio Wengi ndani ya CCM! Na hapa kinachoangaliwa zaidi ni namna ambavyo Fisadi Lowasa anavyoandaa Mashambulizi ya Kuingiza Mamluki 2015 kwenye Kiti cha Urais na kwao Hakuna...
Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliondoka Chama Chake CCM. Maana sioni lolote alilofanya Mkapa na Kikwete tena Baada ya Baba Kufa Hawa watoto aliowaacha ndo wamekuwa Majangili wezi na Majambazi wasio na Aibu!
Ushahidi unadhihirika kwa CCM kuanza kuraruana mara utasikia LOWASA...
Huyu Mzee anafanana Kabisa na Waziri Mkuu wa Nchi ya kusadikika! Sababu ni Msanii wa Maneno tu! Heshima yako Mkuu K! ilienda Zamani sana! Kabla ya Baba ajaenda!
Mara nyingi ndivyo inavyokuwa but Hawa Majasusi wakae wakijua wachezee kote ni Mheshimiwa Dr. Slaa Rais ajaye!
Hapo kama hawajui ndipo vita atakapoanza na watajua je JWTZ na USALAMA WA TAIFA ni Mali yetu au Yao Maana Libya itakuwa cha Mtoto!
Mkuu kama ni Kweli ni Haki yao sababu Dawa ya Tamaa ni Kumuasi Mungu! Fatilia katika Vitabu vyote! Yeyote aliyeasi Kipigo kilishuka juu yake!
Hili ni Fundisho kama ni kweli Sababu ni Hii. Maana Mungu ameruhusu adui zako wakuzingire katika pande nne!
Hivyo ni wajibu wao kutambua kuwa Ma...
Mimi naamini katika Kuua kila mwenye Kuleta TAABU! Hivyo tuvamie Miji yao tuwakamate na Kupora kila walichonacho na Kuua Wao na Familia zao!
Heri kuua wao wachache na vizazi vyao ili visiibuke tena kuleta Mateso ya Watanzania wote!
Na hapa tusiogope Cheo cha Mtu wala Sifa yake wala Nguvu...
Kazi Ipo kwa Kamanda Mkuu wa Chama Cha Magamba na Style yake ya Uongozaji.
Muda si Mrefu utasikia Kigw! Mheshimiwa Naibu Waziri kwa Kusoma Alama za Nyakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.