Search results

  1. sodeely

    Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

    Andiko limeshiba haswa... Asante sana
  2. sodeely

    Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Aache kutuchanganya na yeye tunaitaka bandari yetu watanganyika
  3. sodeely

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Umeusoma mkataba au unabwabwaja tu?
  4. sodeely

    Miezi sita Sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri

    Ndio nilipima na sina tatizo kwenye eneo hilo
  5. sodeely

    Miezi sita Sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri

    Habari za leo ndugu zangu, Ni miezi sita sasa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri na wakati mwingine ngozi inachubuka kabisa.. Kuna wakati pia eneo zima linakuwa na joto sana na maumivu kiasi. Nimeshafika kwa wataalam kama mara tatu na kupatiwa dawa ambazo zinaonekana kutonisaidia. Hii...
  6. sodeely

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Wakuu naomba ushauri juzi nilipata mpenzi mpya lakini uume uligoma kusimama na hata ukisimama hauwi Na nguvu nilipata aibu sana.. Kiafya niko vizuri tu ila nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo je hii inawezekana ikawa sababu?
  7. sodeely

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Wadau habari za leo, nina kabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya fangasi sehemu za siri hasa kwenye corodani, nimetumia dawa za kumeza na kupaka lakini tatizo halijakoma. Je, kuna dawa nyingine ambayo naweza kutumia ili nipone maana zinawasha na kuleta harufu sio nzuri... Nawasilisha
  8. sodeely

    Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Hilo neno linamaanisha nini wakuu, linatokea kwenye laptop yangu na I nashindwa kuendelea kuwaka
  9. sodeely

    MSAADA WENU WADAU DELL LAPTOP

    Asante sana mkuu
  10. sodeely

    MSAADA WENU WADAU DELL LAPTOP

    Laptop yangu imegoma kuwaka inaniletea hilo neno hapo.. Hii ni baada ya kuizima jana leo kuwasha imekuwa hivyo.. Shida inaweza kuwa nini wadau?
  11. sodeely

    Watawala wa CCM wakumbuke ya Zanzibar yanaweza kujitokeza Bara

    Hata Gaddafi alilindwa mwisho wa siku akaokotwa kwenye mtaro, muda wao upo unakuja uvumilivu una mwisho
  12. sodeely

    Polepole: Makonda hakupaswa kufanya sherehe na Polisi

    Kama kahujumu uchumi wa nchi na bado yuko ofisini sembuse kula bata na police [emoji599]
  13. sodeely

    CCM iko katika 'Peak' ya 'Kupendwa' na 'Kushinda' Chaguzi sijui hii peak itadumu kwa muda gani

    Nimependa sana andiko lako mkuu, ngoja lumumba waje..
Back
Top Bottom