Search results

  1. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Mi nimewaza kuwa yawezekana alipofika ndani kabla ya kuvua roho ya Mungu ikamfumbua kuwa anachofanya si halali. Then akakimbia.
  2. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Kweli majanga, ila wanawake wanatia huruma anapofikwa mpaka unashawishika kumsaidia.
  3. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Wewe kweli mstarini. Jeshini wanaita smart area.
  4. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Kama amemkinai mbona sasa kutaka aombewe samahani kwa mumewe? Mke hajiamini kabisa!
  5. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Du wewe kweli miss strong. No nonsense!
  6. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Mke mara moja moja namwona kanisani ila kama ni malaya kiukweli sijui.
  7. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Jamaa hajasema kitu wala kuonyesha wivu. Mke tu ndo anahisi jamaa sio kama zamani.
  8. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Jamaa hajaomba ushauri wala msimamo wake haujulikani.
  9. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Mwanamke nimemshauri na kumhoji kiundani kabisa. Anajutia lakini anasema hakufanya kitu kule gesti. Alikataa kabisa ku-do.
  10. C

    Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

    Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia...
  11. C

    What is the purpose of cheating????

    Kuna wanawake hupenda tu mwanaume asiyekuwa mme wake for no apparent reason!
  12. C

    Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

    Kila kitu ni mtazamo tu! Wana saikolojia washandika kuwa Ukianza kumwona mtu ni kichaa hata kama si kweli kuna siku ukimkuta anapiga chafya utakimbia huku ukithibitisha mtizamo wako. Ukiwa na mtizamo kuwa demu fulani ni malaya haya siku ukimkuta na kaka yake utasema "si unaona!" Hata haya...
  13. C

    Ngome za vyama tawala Africa; Exporters of domestic workers

    Atwm52 usikasirike wala kujituhumu. tafiti hupingwa na utafiti. Toa data. Case study iwe Tanzania
  14. C

    Ngome za vyama tawala Africa; Exporters of domestic workers

    Nimebahatika kufanya utafiti kuhusu "Political Situation in Africa" na matokeo yaonyesha ngome ya vyama tawala ndizo zinazoongoza kwa kutengeneza housegirls and domestic workers pamoja na watu wafanyao kazi katika mazingira hatarishi na ujira mdogo. Je, TZ ni kweli? Je sehemu wanakotoka...
  15. C

    Siasa kwa wenye uelewa

    Nafikiri elimu ya haki itolewe sehemu za mashambani. Watu wameshindwa kutofautisha haki na upendeleo. Hajui mkataba wake na serikali ni upi! Unamkuta mtu hana nyumba, hana barabara, hana soko/gulio, kiwanja hakijapimwa, hana maji, hana umeme, hana simu au aina yoyote ya mawasiliano, hajasoma kwa...
  16. C

    Siasa kwa wenye uelewa

    Kwani ni lazima kumshutumu mtu?
  17. C

    Siasa kwa wenye uelewa

    Twataka maendeleo yanayosababishwa. Utasikia mtu asema wakati wa uhuru 1961 tulikuwa na chuo kimoja sasa tuna 50! Hata nchi iliyokuwa chini ya ukoloni iliweza kuwa na vyuo 50 kwa miaka 20 kama Zimbabwe (1961-1980). Mtu aonyeshe kama tungalikuwa si huru, hali ingekuwaje na sasa tu huru maendeleo...
Back
Top Bottom