Search results

  1. khmango

    Si rahisi kuamini kuwa nchi inaweza wekwa rehani kwa mtu na si taasisi

    Kwa hiyo mnavyo shadadiaga mgombea binafsi huwa mnamaanisha dhamana ya Jimbo na nchi itakua juu ya nani?
  2. khmango

    Ajali: Basi la Simiyu Express laparamia mbuyu, abiria baadhi wapoteza maisha

    Mkuu hiyo basi ilikua inatoka Dar au Simiyu?
  3. khmango

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    ushahidi ni ile "list of shames"
  4. khmango

    Vincent Nyerere: Mbunge wa 'hovyo' kuwahi kutokea Musoma mjini

    Mkuu si UNO tena ilibadilishwa na kuwa UN siku hizi
  5. khmango

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau naomba nipeni sifa au kasoro za pajero io, kwani nimevutiwa nayo sana kwa mda mrefu na nimesha process Loan nataka kuinunua (itakuwa mara yangu ya kwanza kumiliki gari)
  6. khmango

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    wadau nataka kununua Pajero ios, naomba wenye uzoefu na hii gari wanipe mazuri na mapungufu yake kwani mimi kwanye tasinia hii ya magari ni mtupu kabisa
  7. khmango

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mbuzi kafia kwa muuza supu
  8. khmango

    Mawakili wa Gwajima wamwandikia Kova barua

    Kamudhalilisha sana kingozi mwenzake wa kiroho......arobaini zake zimetimia!
  9. khmango

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    mzee wa kijiwe;12407750]Hapana huu ni wakati wa watanzania kuamka na kukataa kuonewa , kunyanyaswa na Polisi, makanisa yote kwa sasa yapo macho kuangalia sakata hili, Gwajima hayupo pekee yake, Serikali yetu imeamua kukosana na makanisa na huu ni ushahidi wa wazi, kwa wenye macho watajua mgogoro...
  10. khmango

    Mabenki na mikopo ya biashara kwa wahitimu

    Hii idea ilishatolewa na CRDB bank kama miaka miwili iliyo pita, sema utekelezaji ndio issue
  11. khmango

    Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

    Mbowe haja experience hata 1/16 ya kashikashi walizopitia hao ulio wataja hapo juu
  12. khmango

    Ajira za Itilima-Simiyu

    Hamana kitu kinachoitwa ITILIMa mjini itilima yote ni chaka tu..... labada kidogo shule moja inaitwa ITILIMA SEC SCHOOL ndio ipo njiani,rahisi kwenda SIMIYU MJINI nauli 1000 kwa basi
  13. khmango

    Bunge La Katiba; Kila Mbunge Ana Dakika Moja Na Nusu Tu Ya Kuongea Katika Siku 90..!

    Wachache sana kati yao wanaoweza kuingiza net profit ya Tshs 220,000(300,000-80,000) kwa siku kupitia shughuli zao halali pengine wasiwepo kabisa, hivyo Tshs 300,000 ni mshiko mrefu sana kwa siku.
  14. khmango

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    # 3na #10 labda watokee sub
  15. khmango

    Anaekataa malipo ya kazi anaishije? anapata wapi hela za kujikimu na kusaidia wananchi wake?

    Usitumie hisia kujibu hoja nzito kama hizi bali tumia uhalisia
  16. khmango

    Tamko la TRA Kwa Wafanyabiashara Wote wanaogoma Kuhusu Mashine za EFD

    Wafanyabiashara wanasema hata wakipewa mashine hizi bure hawapo tayari kuzitumia
Back
Top Bottom