Search results

  1. Ng'wanambula

    Watumishi walionyofoa vyeti vya kidato cha nne kukwepa uhakiki wapo wengi

    Baada ya watumishi wapatao 9932 kutumbuliwa kutokana na kuwa na vyeti fake, taarifa za uhakika tulizozipaa kutokana na uchunguzi tuliofanya zinaonyesha kuwa watumishinwengi kwenye ngazi ya Halmashauri waliokuwa na vyeti fake vya sekondari hasa form 4 walikwepa kutumbuliwa kwa kunyofoa vyeti vyao...
  2. Ng'wanambula

    Tv flat led inch 60 na 55 zipo sokoni

    Hiyo pesa kubwa sana, mwenye 1.2 mil mimi nitampatia inch 55
  3. Ng'wanambula

    Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

    Ni kweli kwenye ofisi za umma hali ni tete, watumishi wanalambana kama hawana akili. Lakini kuhusu kutoa mzigo kwa pesa sio kweli. Mizigo mbona inatolewa bure tu maana issue sio pesa. Kwa uzoefu, wanawake wanaodai pesa mara nyingi huwa sio walioajiriwa. Walioajiriwa huwa wanatoa tu mzigo bure...
  4. Ng'wanambula

    Pongezi: Maji yanayotoka kwenye kiwanda cha Jambo - Shinyanga

    Ushabikini hatari sana. Unazijua parameters zinazotumika kujua kiwango cha ubora wa maji?Utakuwa umekurupuka
  5. Ng'wanambula

    TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

    Nakumbuka mwaka 1995 ndio tulipata mgombea wa kwanza mwanamke. Alikuwa ROSE RUGENDO, ingawa hakufikia hatua hiyo ya ANNA SENKORO lakini nadhani ndio mwanamke wa kwanza kugombea URAIS
  6. Ng'wanambula

    Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

    MWANZILISHI WA SABATO ELLEN G. WHITE ALIUGUA KICHAA LAKINI WAO NDIO MAMA YAO. MSABATO HAWEZI KUITWA MSABATO BILA KUMTAJA ELLEN G. WHITE. Huyo ELLEN G. WHITE INADAIWA ALIUGUA UGONJWA WA AKILI NA KIFAFA: SOMA HII: MENTAL ILLNESS Canright claimed that she had a “complication of hysteria, epilepsy...
  7. Ng'wanambula

    Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

    Afungiwe kwa kosa gani? 1. Yule goalkeeper wa JKT RUVU alionyesha tangu mwanzo dalili za kujiangusha kila mara ili kupoteza muda. Inaonekana lengo la JKT Ruvu lilikuwa ni kutafuta sare na sio ushindi. 2. Lile lilikuwa ni shambulizi, goalkeeper alitoka akaupanchi mpira, akaanguka wakati mpira...
  8. Ng'wanambula

    Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

    Enzi hizo za 1994, maths nilipenda sana hadi nikaweka historia ya kupata A, nasikia hadi leo hawajavunja hiyo rekodi, Kwenye ratiba ya kujisomea night ilikuwa ni lazima kila siku nianze na Maths kwa saa 1 ndio nisome somo lililoko kwenye ratiba. Ndio somo pekee nililopata A, mengine B, na C tu
  9. Ng'wanambula

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Wengi hawaelewi kuhusu WATUMISHI WA UMMA. Wafuatao sio watumishi wa umma: 1. Polisi 2. JWTZ 3. Magereza 4. Walimu
  10. Ng'wanambula

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Waje tu hata mara 10 hadi waridhike. Sisi tunawasubiri
  11. Ng'wanambula

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Tatizo liko wapi kama vyeti unavyo na viko safi na halali?
  12. Ng'wanambula

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Someni hiyo barua vizuri, acheni mihemko na kukurupuka. Kinachokaguliwa ni VYETI VYA FORM 4, 6 NA VYETI VYA UALIMU. Ukaguzi utafanywa kwa watumishi WOTE
  13. Ng'wanambula

    Clouds fm haisikiki hewani Shinyanga kwa zaidi ya wiki sasa

    Kuna tetesi nimezipata hivi punde kuwa wameshindwa kulipa kodi, inasemekana walikuwa wakwepaji wazuri wa kodi ya serikali, sasa wamebanwa kulipia masafa
  14. Ng'wanambula

    Clouds fm haisikiki hewani Shinyanga kwa zaidi ya wiki sasa

    Iliyohoji mashoga ni Clouds TV, nazungumzia Clouds fm Radio. Lakini zote ni kampuni moja ya CLOUDS MEDIA GROUP
  15. Ng'wanambula

    Clouds fm haisikiki hewani Shinyanga kwa zaidi ya wiki sasa

    Kuna tatizo gani wadau maana naona Clouds fm Radio hapa Shinyanga haipatikani hewani kwa zaidi ya wiki sasa. KpKama kuna tatizo, litaisha lini?Uongozi una taarifa hizo? Au ndio imeanza kufilisika baada ya kuondokewa na watangazaji wake mahiri kama akina GERALD HANDO, PAUL JAMES na MILLARD AYO...
  16. Ng'wanambula

    Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

    Atakuwa ni braza K huyo
  17. Ng'wanambula

    Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

    Mhhh na wewe acha ushamba, kwani Baruani Muhuza amekuwa Obama?mbona kika siku huwa anapendelea kula lunch pale Kinyaiya pubm Riverside
  18. Ng'wanambula

    Elfu lela ulela nitakipata wapi???

    Kinaitwa ALFU LELA ULELA, SIKU ALFU NA MOJA. Umenikumbusha mbali sana
  19. Ng'wanambula

    Changamoto ya Uhakiki wa Watumishi Halmashauri ya Meatu

    Hiyo mbinu ya kuangalia salary slip, vitambulisho, barua ya ajira na ile ya kuthibitishwa kazini mbona imeshindwa kuwabaini wajanja?Hapa Shinyanga kuna watumishi hewa wamekwepa huo mtego. Kwa mfano mtu alikuwa ameajiriwa kama muuguzi aliajiriwa na kupangiwa kituo cha kazi mwaka 2014 lakini...
Back
Top Bottom