Search results

  1. M

    For Serious Discussants Only: How Do We Address the Following Challenges?

    We may comeup with lots of suggestions here and i'd like that BUT we have been suggesting daily n here is not the bigining, the issue is we have never seen our ideas are being dealt with or practically implemented. So do you think this forum will be special and fruitful?
  2. M

    Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

    Polisi washakua adui wa usalama wa raia na mali zao
  3. M

    Bungeni: Serukamba aomba radhi

    Inaonyesha ni jinsi gani huo mkwara haukuihusu ccm. Kiti cha spika kinaudhi sana.
  4. M

    Wabunge CHADEMA wamedanganyika?

    Mada yako imejaribu kugusa suala lilivo ila utakubaliana na mm kua impact kubwa kwa watanzania inapatikana kwenye muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba mpya zaidi ya muswada wa manunuzi ya umma ambao pia bunge kupitia nguvu kubwa ya ccm iliyoko bungeni walipitisha kitu ambacho madhara yake...
  5. M

    BUNGENI: Muswada wa mabadiliko ya katiba

    kitu ndo kinasomwa kwa mara ya kwanza hebu tuone wat will happen to the end
  6. M

    CCM imeua na imetesa watu wengi sana. ushahidi ni huu!!!!

    kwa ujumla ccm inaua kila siku achana na kutesa
  7. M

    Deus kibamba atangaza maandamano wasiposikilizwa

    nadhani hili nalo ni kipimo kwa watanzania kweli
  8. M

    Maandamano makubwa

    yani serikali yetu hata mamabo madogo kabisa wanataka kuyayumbisha, suala la kusoma kwa mara ya kwanza ndo tunalotaka ili kila mwananchi aweze kupata nafasi yake katika kupitisha muswada. tanzania vipi jamani
  9. M

    Askari wa Polisi na JKT watwangana Tabora

    kweli mwisho wa manyanyaso ya jeshi la police unawadia, watu wanachoka aisee
  10. M

    Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

    Watu wanaozungumzia pafomanc ya kiongoz nje ya jimbo ni ulimbukeni unawasumbua, naunga mkono aliyesema wapande basi warudi nyumbani wakaulize nini na kipi kimefanyika kwa sababu kuna watu wengine cjui wakoje. Hivi mnafikiri jimbo litapakwa rangi ili mjue kuna kitu mbunge amefanya? Na ndani ya...
  11. M

    Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni: Akerwa na maandamano ya CHADEMA

    alichokileza waziri mkuu ni viseversa yan unaongea bungeni unasema nafikiri au kwa ulivosikia, kama umeweka kichwani na kuongozwa na maneno ya pinda utakua na matatizo makubwa sana ya akili.
  12. M

    Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    nawaamini sana kina baba, kaka, mama, na dada zangu pia wadogo wangu mlio nyumbani rombo chochote mnachokifanya mna sapoti yetu tulio mbali kidogo hata huku tunafanya harakati za kupambana na huyu mfalme juha
Back
Top Bottom