kwa type ya huyo mama ulitakiwa umlipie Kodi sehemu nyingine na sio kukaa free kwako. KuombA radhi kwake haipingiki lakini utakua umekaribisha Mambo Fulani ndio mwanzo was kukupelekesha Kila kitu ufanye Kama anavyotaka yeye. Uamuz wwt utakaofanya cheza na akili yake
Mi nilishafunga ukurasa wa kukaa na ndugu wa mume mana Nilikua namuuguza ma mkwe hayo majanga yake ni shiidah na alikua hataki kwenda kwa mwingine hata wakimchukua Siku mbili nyingi anarudi. Unapelekeshwa km kitu gani sijui. Namuombea maisha marefu aje some watoto wake pia wakipelekeshwa akili...
Sio wote dia, Nina aunt Yangu nyumbani kwake SAA kumi na mbili wote muwe mmeshaingia si wa kike wala wa kiume. Na kwa mzee kwangu watoto wa kike tu ndo alikua ana angalia umeaga? Umeenda wapi na umetumia muda gani kurudi? LA sivyo muda wote uwe home ila wa kiume full kujiachia.
Ngumu kumeza japo hata mtoto huna ukipata wa kwanza tu ndoa chali.
Wanawake ukiona mwanaume hana tabia unazozitaka kimbia kama mshale. U can't change a man. Sasa ukisubiri eti akupe ruhusa yeye kua sawa tuachane ndo usepe pole. Mwanaume unamfumania na bado kukupa talaka huwa hawataki. Anahama...
Thanks lizbert but never ever judge by listening the one side. Mwanaume anampenda mmewe that is true but ni nini chanzo cha mwanamke kua hivyo? Alimuoa akiwa hivyo hivyo? Amedate Naye akiwa hivyo hivyo? Kitu ambacho hakiibgii akilini. Ninachojua tu kuna some point mwanamke ukimkosea kila Siku...
Watu was namna hii wanakuaga wakorofi sana usishangae akakugeuzia kesi na hata akiona huku jf atakua wa kwanza kusema ananitangaza.
ila Eliza we ni fala mama wa mafala wote hata km unampenda an mumeo mfungulie bihashara yake zuzu wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.