Search results

  1. C

    Nani Ampokee Kikwete KIJITI?

    Dr slaa na timu yake.
  2. C

    Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    Unashangili kujivua gamba wakati hata babb yako ni gamba, umefika huko usa kwa mtaji wa kigamba. Huna haya hata kidogo wewe mtoto
  3. C

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    Hakuna msafi ccm, wote wananuka.
  4. C

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Masikini wazee we2 hawaelewi lolote! Kiongozi wao ndiyo kabisaa eti anasema ccm hoyeee! Wakati mkutano siyo wa chama ni wazee wa dar.
  5. C

    Style za waendao vyuoni

    Teh! teh! teh! Kweli umekosa kazi za kufanya.
  6. C

    Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

    Mbunge wa ccm akifuatilia mjadala wa katiba.
  7. C

    Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

    Uozo wa magamba huo
  8. C

    CHADEMA wana tabia ya mtu mbinafsi

    tena mchawi jk na team yake wanaotawala pasipo ridhaa ya watawaliwa! Hebu ona mambo yanavyo mwendea vibaya, arusha, mbeya dsm! Duu! eti zenji nao wameanza kudai uhuru wao mamaweeeee!!! Karume na nyerere kama wangefufuka leo fumbi lingetimka ikulu kama siyo slaa kupewa haki yake.
  9. C

    CHADEMA wana tabia ya mtu mbinafsi

    Wana mbeya walikataa kuongea na kiongozi yoyote zaidi ya sugu na wakatangaza kuu sugu ndiye rais wa mbeya. Nakushangaa wewe unayesema eti sugu angepitia wapi? Kweli wewe umelala fofofo kama jina lako lilivyo, na pia umelalia hengover za uccm.
  10. C

    Barua Kwa Rais Kikwete Toka Tarime

    "MWITA MATTEO acha dharau ndg yangu, wagogo wa leo siyo wale wa enzi za Malecela. Juzi nilikuwa dodoma nikafanikiwa kutembelea vijiji vyote jimbo la bahi, kata 8 jimbo la mtela, kata 10 dodo mjini. Kwa taarifa yako nimeona jinsi gani watu walivyo ichoka ccm na mabadiliko makubwa janakuja! Wana...
  11. C

    Dar: Mabomu na risasi Ubungo

    Arusha! Mwanza! Leo Mbeya na Udsm! Kesho mabomu yatalindima ikulu!! Pole sana jk achia ngazi mapema kabla hayajakufika ya marehemu hayati the late Ghadafi.
  12. C

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    Duuuh! Ndiyo faida ya kutawala pasi ridhaa ya watawaliwa. Nadhani huko tuendako Libiya itakuwa cha mtoto! Make taratibu watanzani wanajengeka ujasili wa ajabu na ipo siku hata hao polisi watasema basi. Kwani hata hao polisi wana maisha magumu kweli kweli! na wahitaji sana ukombozi.
  13. C

    Kufukuzwa kwa Rais wa Vijana wa ANC Julius Malema na hulka za Viongozi wa Afrika kukimbia Changamoto

    "maskini Zuma! Urais umekufanya kinyonga. Kweli tunashangaa ya jk mzee wa ari! Nguvu! Na kasi mpya sasa tunayaona ya Zuma! Hawa jamaa wanafiki kweli kweli. Tuna muombea j,malema asikate taama, ahame anc ukombozi utapatikana tu
  14. C

    CHADEMA yabakiza karata moja ya kucheza na mabadiliko kupatikana

    "watoto wa mafisadi mnajitahidi kweli kupotosha dhima ya harakati za ukombozi tunaoutafuta. Mtake msitake ukombozi utapatikana tu! Hahahahaaaaaa! Imekula kwenu na hao babazenu wa kufikia mafisadi mabasha wa mama zenu."
  15. C

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Hongera m/kiti kwa ujasili wako! Tupo pamoja!
  16. C

    Taarifa: Police kumbe nao hawataki hayo ya Arusha

    Safi sana polisi wanavyofanya, hii nchi ni ye2 wote lazima tusaidiane kuikomboa.
  17. C

    Prince Charles na mke wake washindwa kuingia mjini Arusha

    "Saaaaaaaaaaafi sana! Akamwambie na Cameron we hate them so much."
  18. C

    Love hurts (sometimes).....

    Una umri gani?
  19. C

    Kilichotokea Arusha katika picha

    Safi saaaaaaana wana Arusha ur really revolutionalists big up yu all! Peoples!! Powerrrrrrrrrrrrr!
Back
Top Bottom