Search results

  1. Allen Kilewella

    Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    Kuna kijana nilimuiliza yaani umesoma miaka 15 ili uje kuwa mwendesha Babaji?? Mwingine anachoma mahindi anajisifu "alivyojigeuza" badala ya kutafuta ajira akaamua kuwa Mchoma mahindi. Na ni watanzania akili na matendo yetu ndiyo yanayotufikisha Kila mara kwenye ile falsafa ya "heri nusu mkate...
  2. Allen Kilewella

    Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

    Haya mambo haya...
  3. Allen Kilewella

    CCM kweli imechoka

    😃😃😃
  4. Allen Kilewella

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Wngekuwa wao wangekwenda mpaka fifa.😃😃
  5. Allen Kilewella

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Off side ya Chama majuzi hawakuiona???
  6. Allen Kilewella

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Gamondi Keshasema goli la pili lilikuwa Off side!!!
  7. Allen Kilewella

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Lazima itasemwa kuwa wamefungwa Kwa kuwa refa Herry Sasalli huwa hawapendi.
  8. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Unamkumbuka yule mtu aliyefungwa Kwa kumuita Magufuli bwege!! Yaani kumbe wengine wanastahili kuitwa bwege!!?
  9. Allen Kilewella

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Kuhusu Msaaada Wa USAID Wa Chakula Lishe. 📌Ni kweli kuna ukosefu mkubwa wa chakula lishe chenye virutubisho kwa wanafunzi wengi maana vyakula vingi wanavyokula ni kuzuia njaa tu na sio kuleta afya ya mwili na akili hivyo udumavu unaongezeka. 📌USAID kwa mahaba makubwa kama ambavyo wanawajengea...
  10. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Akili huwa haiazimwi... Labda kwenye ulimwengu wa Mazombie....
  11. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Afadhali umenisaidia... Aliowataja ni waendesha ibada. Waumini ndiyo hawa humu JF na kwingineko wanaopambania "Legacy" ya Magufuli.
  12. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Bahati mbaya Afrika siasa ni ajira na siasa ndiyo njia rahisi ya kupata Hela.
  13. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
  14. Allen Kilewella

    Simba inazidiwa na Yanga kwa propaganda

    Hii hoja Bado Ina uzito ule ule!!
  15. Allen Kilewella

    Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    "Nyumba iliyokamatwa Iko huru" pale Lumumba mmetafsirije hii sentesi???
  16. Allen Kilewella

    Kitabu cha Panga la Shaba

    Hii iliishia wapi??
Back
Top Bottom