Search results

  1. M

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    America kuna serili zaidi ya 50
  2. M

    Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

    Hivi Ben Disraeli alikuja waziri mkuu wa Uingereza 1967 kweli?
  3. M

    Mama Maria Nyerere adhulumiwa viwanja

    Hivyo viwanja lini alipewa Nyerere? Kama ni Kabla ya 1999 Ina mañana ni zaidi ya miaka 15. Kila mmiliki anatakiwa kuendeleza kiwanja hicho katka muda wa miaka 3. La sivyo kiwanja kinarudi kwenye milki ya serikali na mtu yeyote a naweza kumilikishwa. Sasa viwanjwa hivyo vyote kwa nini...
  4. M

    Stadiums

    Wingi wa stadium ni "stadia" sio stadiums
  5. M

    Msafara wa jaji mkuu wasababisha ajali ya bodaboda arusha.

    Sheria gani hiyo inayo kataza kusimama Hamada ya ajali?
  6. M

    Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

    Kwa Sababu nao hawakipendi Chana hicho.
  7. M

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Uamuzi wa Supreme Court ndio wa mwisho. Hakuna rufaa. Oginga sasa alie tu. Macinkus
  8. M

    Mshahara wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Watendaji Wakuu Serikalini

    1972 mshahara wa Rais ulikuwa shilingi 4,000/= kwa mwezi macinkus
  9. M

    Hekali mbili za barabarani zinauzwa kibaha misugsugu karibu na tra

    Vipimo ni ema ah hekta. Hii hekali ndio kipimo gani? Macinkus
  10. M

    Jeshi la polisi na kizungumkuti cha mil 150

    Amekufa kwa Sababu anamjua alkydchukua 150 milioni Macinkus
  11. M

    What did Yvonne Chakachaka meant when she broke the protocol on GAVI forum opening at state house!

    Kichwa cha Jabari kimombo kobovu. "what did ....meant" si kiingereza. Macinkus
  12. M

    What did Yvonne Chakachaka meant when she broke the protocol on GAVI forum opening at state house!

    Kichwa cha Jabari kimono kobovu. "what did ....meant" sip kiingereza. Macinkus
  13. M

    Harusi ya Marehemu Oscar Kambona - Best Man Marehemu Julius Nyerere

    NYerere hamuwa best man Bali alikuwa "baba " es bibi harusi Flora. Harusi ilifungwa kwenye Kanksa moja London. Wakati huo Kambona alikuwa waziri es elimu. Alimpa Flora scholarship ili harusi ifanyike Ulaya, na Nyerere alisafiri kwenda huko kumwakisha baba mzazi wa Flora. Mdogo wake Flora...
  14. M

    Ni vp ntatengeneza maziwa mgando?

    Mtindi Mzuri huna haja kuchemsha Maziwa. Ni kuyaozesha Maziwa . Na wadudu wanao ozesha Maziwa, huua bacteria wote, pamoja na wa kifua kikuu. Waafrika wengi walikuwa hawanywi Maziwa mabichi happy kale, na hawakuwa wanapata kifua kikuu. Macinkus
  15. M

    Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

    Mkuu wa inchi amekwisha mhukumu sasa kortini watafanya nini
  16. M

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    Mimi nilisoma Mpwapwa 1955-1958 mwalimu mkuu akiwa Elwell-Sutton. Hivi nembo ya shule ilikuwa "zeal and.......? Macinkus
  17. M

    Vifo vya Comoro na Darfur: Hivi JWTZ wanafundishwa kuogelea??

    hawajui kuogelea ndio tatizo. macinkus
  18. M

    Waziri wa Nishati na Madini ajiwekea kitanzi shingoni...

    leo umeme umekatika saa kumi usiku sabasana na mpaka sasa saa tisa na dakika 11 badu kurudi' hongera mafisadi! macinkus
  19. M

    Jipatie asali mbichi: Direct from Sikonge.

    TAHADHARI: ASALI INAYO PATIKANA TABORA NA SEHEMU ZINGINE WANAZOLIMA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA. NYUKI HUOKOTEZA NECTA KUTOKA MAUA MBALIMBALI PAMJA NA TUMBAKU. KWA HIYO ASALI IPATIKANAYO INA NICOTINE KIBAO. NDIO MAANA WANJANJA WA MANGHARIBU SIKU HIZ HAWAICHANGAMKII ASALI KUTOKA TABORA. WANANUNUA...
  20. M

    Jipatie asali mbichi: Direct from Sikonge.

    TAHADHARI: ASALI INAYO PATIKANA TABORA NA SEHEMU ZINGINE WANAZOLIMA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA. NYUKI HUOKOTEZA NECTA KUTOKA MAUA MBALIMBALI PAMJA NA TUMBAKU. KWA HIYO ASALI IPATIKANAYO INA NICOTINE KIBAO. NDIO MAANA WANJANJA WA MANGHARIBU SIKU HIZ HAWAICHANGAMKII ASALI KUTOKA TABORA. WANANUNUA...
Back
Top Bottom