Awali ya yote ningependa sote tufahamu kuwa siasa ni huduma, kwa hiyo mwanasiasa ni mhudumu!! Wanasiasa acheni uongo! Fanyeni kazi na ionekane!! Siasa sio uongo na maneno ya mzaha mzaha! Politics is all about service! Wananchi na viongozi tufanye kazi kwa bidii yote na ifikapo mwaka 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.