Search results

  1. M

    Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

    ni mzuri? anafiga ya kuuzia sura au kiaina? kama ni mzuri afu anafiga ya maana mwambie akimshindwa amshift pande hizi ila sikwajili ya kuoa sawa kijana?
  2. M

    Hata wewe yanaweza kukuta

    :lol::lol::lol::lol::lol::lol:oooh mbavu zanggu
  3. M

    Hivi hili nitatizo

    Tangu nimeanza mahusiano sijawahi kabisa kupenda ila nasikia watu wanalalamika kuhusiana na mpenzi wengine wanafikia hatua ya kujiua kwasaabu ya mapenzi. Huwa najiuliza nikipi hasa kinamfanya mutu ajiue kwasaabu ya mapenzi? yani mpaka leo sijapata jibu. Sasa nina umri wa miaka 30 na mapenzi...
  4. M

    Hivi ni kipi sahii; kusema ukweli au kusema uongo katika mausiano?

    yani dah inaniuma sana kusikia we chakula kinakufata afu unakikataa. mimi hapa nilipo ninamke nina watoto pia ila kupiga nje ni kama kawa tena kwa roho safi. Yani ningekuwa mimi hiyo mali tungeipa kitu roho inapenda afu tukajikataa. kwani nini, hao ndo huwa wanachaneli kama mchumba angeshtukia...
  5. M

    Hivi ni kipi sahii; kusema ukweli au kusema uongo katika mausiano?

    Kwanza kabisa nikupe salam, habari yako. Kwajinsi ninavyofaham kwa upeo wangu mimi siku hizi hakunaukweli, na kama unataka ukosemarafiki au uishi maisha ambayo sio jaribu kuwa musema kweli. we unge mnunulia tu kwani tatizo nini kumununulia rafikio wakike nguo ya ndani? Nahatakama angekutaka...
  6. M

    Jamani ni saidieni mimi

    Nimeanza tangu nikostandard 4. najua ni kitu ambacho si chakawaida ila i don't need other pussy bro, na kuishi bila mtu kwa umri kama wangu ni kiaina na pia nina wafaham madem vizuri tu. sasa niambie nimpekipigo au niwambie wazazi wake au nifanyeje?
  7. M

    Jamani ni saidieni mimi

    always i think about life not wife but i need her because she has child with me and she gives me joy when I'm sad. I gar no problem mr, you just tell me what to do?
  8. M

    Jamani ni saidieni mimi

    kama ungekuwa wewe ungefanyanini?
  9. M

    Jamani ni saidieni mimi

    Najua kwamba kukaa bila kumuuliza nitatizo ila wa swahili wanasema ukimchunguza sana bata huto mla. so niliamua kumuacha afanye analojua saabu na mtu ambaye alikuwa akimfanya alale au achelewe kurudi nyumbani nilikuwa nishamfaham. usifikili na matatizo ya akili, hapana nijua ninachokifanya ila...
  10. M

    Jamani ni saidieni mimi

    30 years mke wangu ana25 na ninampenda sana. wala hajanifanyia mambo ya kiswahili nauhakika nahilo. niambie nifanyeje?
  11. M

    Jamani ni saidieni mimi

    kumpenda na mpenda tena sana na wala sina tatizonae kwasaabu najua atazunguka ila atarudi palepale afu kitu kingine mtu anaye mfanya alale nje nisha mfaham tena kitambo tu. ila najiuliza kwanini kaniambia vile?
  12. M

    Jamani ni saidieni mimi

    Sikia ndugu yangu kama nikimuacha nitaacha wangapi afu pia sipendi mtoto wangu alelewe na mzazi mmoja, napenda apate malezi ya wazazi wote wawili. swala si usukuma
  13. M

    Jamani ni saidieni mimi

    Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na mimi sikutaka kumuuliza wala kumugasi kwa lolotelile saabu nampenda sana na ninafahamu yeye pia...
  14. M

    Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

    Nyie ndo mnaofanya wanaume waonekane vimeo. sasa we ndugu yangu wanawake wote watatu wa nini? tamaa zilimponza bwana fisi, nyie kuwa saliti huwa sawa ila mkisalitiwa mnaenda kuwakata mapanga. sasa fanya hivi oa wote kama vipi saabu si wote unaamini wanaupendo wa kweli kwako.
  15. M

    Kwaherini wenzangu!

    utakoma mi naomba jamaa akufanyie kama yule dem wa facebook.
  16. M

    Binti mrembo auawa kisa facebook

    Hakuna cha kupenda kweli, huo ni ujinga tu ndo unawasumbua baadhi ya wanaume we unashindwa kufanya mambo yako unaenda kufanya upuudhi kama huo kweli we zimetimia, unawaza future kweli? wakati huu si wa kupigania wanawake kama kweli mtu unajielewa, kuna mambo mengi ya kufanya na kufikiri si...
  17. M

    jamani hivi ni mm au na kwa wengine?

    Dah!!!!!!.................... aiseee sijui nikusaidie vp yani. ila nikwambie kitu unaezekana ukawa c safi ndo maana hupati anaekufaa. usikate tamaa endelea kukomaa ipo siku utampata unaemtaka kama c hapa kwa jakaya basi hata kwa mr ob unaeza ukapata. mi nakuombea na ukimpata usinisahau.
  18. M

    Haya ni yaukweli?

    Kwanini watu wanaamini kuwa kuna baadhi ya makabila ukioa au kuolewa nayo ni taabu tupu. Mfano watu wengi wanaamini ukiolewa na mkurya au ukioa mkurya kipigo kwao huwa ni chakufikia yaani ni kama ishara ya upendo kwahiyo bila kumpiga au kupiga bado upendo haujaonekana. Pia wapo watu wanaamini...
  19. M

    Mwenzenu lipo linalonisibu naombeni msaada...

    ASEE pole sana dada angu, kwakweli hapa mlipofikia nipagum sana. chamsingi kaa chini na huyo mumeo ambaye ukonae kwa sasa mweleze hari harisi kuhusu huyo mzazi mwenzio, yaani mweleze kiunagauba usimfichechochote. Mweleze kuhusu sms na ambavyo alivyokujibu baada ya kumpigia simu afu usikie yeye...
Back
Top Bottom