Search results

  1. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tujiandae kisaikolojia kuwa wasira anaweza kuwa raisi..
  2. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Uzalendo kwanza wasira ,zitto,mwigulu ...
  3. M

    Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Wasira azidi kubeba mioyo ya watanzania
  4. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Rejea kichwa cha habari hapo juu maneno hayo ayasema mhe zitto kabwe pamoja na kutambua uzalendo wa mhe wassira na uwezo wa wassira mwisho ameuzunika sana na hatimaye kutondosha machozi baada ya uzushi uliojitokeza bungeni baada kutajwa mama yake mzazi zitto marehemu.
  5. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Maneno hayo yalitolewa leo bungeni, mikoani na hasa mitaani baada ya kauli alioitoa leo bungeni ameonyesha uwezo wake wakufanya maamuzi na kuisimamia tanzania na watanzania. Wassira azidi kujichukulia nafasi kwenye mioyo ya watanzania. Nawakumbusha tena tujiandae kisaikolojia kuwa mhe wasira...
  6. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mhe wasira leo wakati akichangia katika sakata la escrow alisema alio husika watoswe. Bunge limeonyesha imani na mhe.wasira na mhe.mwigulu sana juu ya ujasiri alionao na uzalendo.
  7. M

    Makonda tena Dodoma amtunishia misuli UVCCM mwenzie

    Vijana wa lowassa wako kazini
  8. M

    Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Sema unamuhitaji lowasa kwani baba yako?.... 2008 katu richimondi na bado anakejeli serikali kuwa yeye kafanya na sio serikali hapo ndipo tunapomkataa ni mmbinafsi sana. Unapoteza muda wako kumuongelea lowassa rais lazima atoke ccm na wajumbe tutaamua. Aendeleee kununua mamlaka tusubirie kuuzwa.
  9. M

    Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Lowassa jua tuko dodoma na tunajua unacho kifanya acha ujinga jua huwezi kuwa rais na katubu zambi zako maana umekula hela ya wavuja jasho watanzania. Laana iko juu yako na wanao kufuata nao wame laaniwa.
  10. M

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    WASSIRA KIBOKO Yao!!!!!!!
  11. M

    Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

    Kwanza aliyeandika Hii ni moja ya administration wa jamii forum anayetumika na bwana Lowassa .... HUYO WASSIRA ni msafi sana hata mungu anamjua juu ya utumishiwake Kwa taifa hili uliotukuka. Angekuwa mchafu AU amefanya hivyo angekuwa amesha ondoka kawa tulipo wahokuwaona HAPO nyuma. Acheni...
  12. M

    Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

    Wasira kiboko yao
  13. M

    Timu ya kampeni ya Steven Wassira Masatu

    Kambi imara ya wassira na watu wake wanamikakati .... Huyo kijana wake zenda nasikitika kuwa hamumfahamu na very soon tutawafahamisha vizuri...maana kilicho andikwa hakuna hata kimoja cha ukweli ni uwongo mtupu kuna vijana wa lowassa juzi alikutana nao pale mlimani city akiwemo na mtoto wa...
  14. M

    Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    kifo chao kilitabiriwa na wasira.....
  15. M

    Wassira azidi kuwa tishio toleo la kwanza

    tunatambua uwezo wake wasira na ni presidential material. jamaa kichwa sana tunaendelea kumfahamu kila siku.
  16. M

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Ni mdahalo wa ubungo plaza ulioudhuriwa na Vijana wengi sana na pia ulikuwa live itv. Baada ya mada kubwa ni nani anayekwamisha mchakato wa katiba MPYA na kupelekea watanzania kutosa KATIBA MPYA . Vyama vyote vitatu vilishiriki CCM,CUF na CHADEMA . Mhe Wasira aliwazidi wenzake HOJA na uwezo...
  17. M

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Ni mdahalo wa ubungo plaza ulioudhuriwa na Vijana wengi sana na pia ulikuwa live itv. Baada ya mada kubwa ni nani anayekwamisha mchakato wa katiba MPYA na kupelekea watanzania kutosa KATIBA MPYA . Vyama vyote vitatu vilishiriki CCM,CUF na CHADEMA . Mhe Wasira aliwazidi wenzake HOJA na uwezo...
  18. M

    Baada ya kuongoza matokeo ya Ujumbe wa NEC, Wassira ana nafasi kubwa kupitishwa kwenye Urais Pia

    Tunamfahamu wasira hasa huku lindi,mtwara,ruvuma,mbeya anauwezo mkumbwa tangu alipokuwa waziri wa kilimo mazao hayakulala mwaka alifanya vizuri...anastahiliku pewa nchi atuongoze
  19. M

    Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Mhe WASSIRA afananishwa na machine ya mjerumani hasa kwenye siasa za nchini TANZANIA Kwa maana ya uwezo wake katika siasa, ukongwe wake katika siasa,Mtandao wake kwenye siasa na hasa kikubwa namna anavyowea kumuunga upepo huo kuelekea 2015. WASSIRA ambaye amekuwa tishio kubwa na mwenye kuwekeza...
  20. M

    Wassira ategua bomu la Lowassa linalosubiriwa kulipuka

    Wasira Jembe watanzania TUNAHITAJI tupate RAIS atakaye mpokea kijiti jk na wewe unatosha wengine ni mafisadi na pia waoga.... Wasira wewe Jembe
Back
Top Bottom