Search results

  1. R

    Uchaguzi 2020 Tamko la Tume ya Haki za binadamu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Bila AMANI haki itatoka wapi!? Leo hii Libya, somalia na kwingineko kutaja kwa ufupi hawana amani, tujiulize je kuna haki kwao!? Usidanfanyike, bila AMANI, bunge, mahakama na serikali vyote haviwezi kutekeleza majukumu yao na uonevu wa wenye nguvu utatawala.
  2. R

    Ushindi mwingine wa Tanzania kwenye vita ya uchumi

    USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI Na Bwanku M Bwanku Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania kwenye vita nzito ya kiuchumi. Kwenye tukio hilo, Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...
  3. R

    Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

    *RAIS MAGUFULI KUPOKEA GAWIO KUTOKA BARRICK GOLD* *Siku ya Jumanne Oktoba 13, 2020 Rais John Pombe Magufuli atawaongoza Watanzania kupokea Gawio la zaidi ya Bilioni 100 kutoka kwa Kampuni ya Barrick Gold ikiwa ni sehemu ya fidia ya malimbikizo ya kodi na mafanikio ya kupitia upya Mikataba ya...
  4. R

    Ufunguzi wa barabara ya juu ya Ubungo Interchange kutoka Mwenge hadi Buguruni ni ushindi mwingine kwa vita ya kiuchumi

    Ni vyema kama ujaelewa ni bora uniambie nikutafsilie kwa lugha ya kwenu.
  5. R

    Ufunguzi wa barabara ya juu ya Ubungo Interchange kutoka Mwenge hadi Buguruni ni ushindi mwingine kwa vita ya kiuchumi

    Hahaha umechemsha lissu hana mamlaka ya kubadirisha chochote jitafakari..
  6. R

    Ufunguzi wa barabara ya juu ya Ubungo Interchange kutoka Mwenge hadi Buguruni ni ushindi mwingine kwa vita ya kiuchumi

    Hakika jpm amefanya mengi sana ya kujivunia hapa Tanzania na hata kama akiondoka leo ameacha alama kubwa na kipekee katika taifa hili. Hii ubungo interchange inasaidia kuondoa changamoto ya msongamano wa magari, hii inawezesha mtu kuwahi popote anapotaka na inachochea chahchu ya biashara katika...
  7. R

    Ufunguzi wa barabara ya juu ya Ubungo Interchange kutoka Mwenge hadi Buguruni ni ushindi mwingine kwa vita ya kiuchumi

    UFUNGUZI WA BARABARA YA JUU YA UBUNGO INTERCHANGE KUTOKA MWENGE HADI BUGURUNI NI USHINDI MWINGINE KWENYE VITA HII YA KIUCHUMI. Na Bwanku M Bwanku Jumatano ya Septemba 30 mwaka huu, Serikali ilifungua barabara ya Juu ya Ubungo Interchange kipande kinachotoka Mwenge hadi Buguruni kwenye makutano...
Back
Top Bottom