Search results

  1. K

    Nafasi JWTZ ..

    tafuta mtaji jamaa yangu jeshi ndo kazi gani piga bingo kwenye biashara
  2. K

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Hata hivyo inaonekana hawa jamaa walihitaji tu roho yake. Umefika wakati jeshi la polisi kujirekebisha. jeshi lifanye kazi kwa kufuata maadili , kujali haki za binadamu. la sivyo huo ni mwanzo tu.
  3. K

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    Takribani wiki moja hapa mjini Arusha sijui maeneo mengine umeme unakatika mara kwa mara hasa nyakati za jioni.Ikumbukwe waziri wa nishati na madini aliahidi mgao wa umeme basi! Shirika limekaa kimya hakuna taarifa kwa umma shughuli nyingi za kiuchumi zinazotegemea umeme haziendi vizuri...
  4. K

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    Takribani wiki moja hapa mjini Arusha sijui maeneo mengine umeme unakatika mara kwa mara hasa nyakati za jioni.Ikumbukwe waziri wa nishati na madini aliahidi mgao wa umeme basi! Shirika limekaa kimya hakuna taarifa kwa umma shughuli nyingi za kiuchumi zinazotegemea umeme haziendi vizuri...
  5. K

    Maige aichana serikali ya JK

    mfa maji haachi kutapatapa.......
  6. K

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    inashangaza sana, meneja wa mkoa wa arusha ameulizwa na waandishi wa habari akawa na kigugumizi, hana taarifa rasmi kutoka makao makuu. lakini hapa mjini mgao kama kazi. vyakula vimeharibika kwenye mafriji,samaki na kuku sokoni vimeharibika. My take, ni vyema wakatoa taarifa na ratiba ya mgao.
  7. K

    TCRA angalieni hivi vituo vya redio

    Jamani tasnia ya habari imepotoka kana kwamba hakuna tena uangalizi wala uhariri wa habari kabla ya kuruswa hewani. Sikiliza vituo vingi vya redio mida ya asubuhi, ni kitchen part discussions. Mambo ambayo kwa kweli huwezi kukaa na mtoto ama mzazi ukasikiliza. Hivi ndio tumekosa mambo mengine...
  8. K

    Tbc tbc tbc!

    Wewe uko wapi? Itv wameonyesha mkanda wote.........no research no right to comment.
  9. K

    Tbc tbc tbc!

    Jamani nimeangalia televisheni yetu hii ya serikali, kwani inachukua ruzuku kutoka serikalini, fedha ya kila mwananchi mlipa kodi. Cha kushangaza! Habari iliyovuta watu wengi, umma kwa ujumla ya kutekwa kwa dr. Na kukutwa mahututi katika msitu wa magwe pande. Haikuwa ni issue. Hivi wanahabari na...
  10. K

    Kesi ya Lulu imeahirishwa!

    lakini alikuwa anastahimili mapigo, binti ana mambo makubwa yanayomzidi umri!
  11. K

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Hapo sina cha kuongeza, umefafanua vya kutosha. Big up!
  12. K

    Tuwe makini na vinywaji kama soda na bia kwenye chupa

    hivi karibuni nilitaka kunywa soda aina ya bitter lemon inayotengenezwa na bonite bottlers ltd, kampuni tanzu ya ipp. wakati nataka fungua niliona mdudu mkubwa tena ameanza kuoza! sasa nawauliza wan jf. katika karne ya sayansi na teknolojia, viwanda havina umakini wa kufanyia usafi vyombo kama...
  13. K

    Naomba kumfahamu John John Mnyika.

    hiki ni kicha cha maua seminary
  14. K

    Hivi hawa the so called EWURA kazi yao ni nini?

    jamani ewura mpaka sasa ni mwez bei za mafuta ni zilezile hazija shuka,na ahadi zenu watanzania wanazisikiliza na kuzifatilia,tupeni majibu au na nishati ni siasa?
  15. K

    Waalimu wa Tanzania mbona mna roho mbaya sana?

    nao ni upuuzi! Heshima taaluma za watu
  16. K

    Help me this Math Please

    nina allergy na no, so uwanja ugenini
  17. K

    Barabara ya hedaru-Korogwe

    Natokea arusha kuja dar, barabara tajwa ni hatari kama ukarabati wa uhakika na mapema hautafanyika, kuna mashimo mengi mno. So take care!
Back
Top Bottom