Search results

  1. S

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Imagine kick back ya 29% kwenye contract ya 50mil USD. Hizi hela hawa jamaa wanazipeleka wapi. Mbona sioni watu wakimiliki Jets au Yatch au hata nisikie ni wafanyabishara wakubwa baada ya kustaafu au wana Shares kwenye makampuni yanayoeleweka duniani...!!!!????
  2. S

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Wandugu mimi kama sikosei huyu Mkono ni Mwenyekiti wa:HIGHER EDUCATION STUDENTS LOANS BOARD (HESLB) ? Kumradhi kama nimekosea ila nakumbuka ana ama aliwahi kuwa na wadhifa fulani katika chombo kinachoshughulikia mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Kama hivyo ndivyo na bado anaishikilia nafasi...
Back
Top Bottom