Search results

  1. C

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Kuweni wenye akili usiangalie kipato angalilieni na matumizi
  2. C

    Kitabu Kipya cha Mbunge Maarufu Aliyefukuzwa CHADEMA Hiki Hapa Live!!

    Wafuasi wengi wa act ni wale wasaka madaraka ambao wanaona hawatapata nafasi ya kuteuliwa kugombea ubunge na vyama vyao hasa wanachama wa chadema haipo huo ndo mtaji wa act. Nawaombea sana ukawa muungano wao udumu nahisi wakifanikiwa watatutoa Watanzania Hapa tulipo.
  3. C

    Mwigulu Nchemba adai alikuwa best student stashahada ya kwanza na ya pili.

    Huyu ni kilaza wee umesoma wapi maintelectuals wanajitangaza?
  4. C

    Ni nani Wassira anahisi akihama CHADEMA itayumba?

    Na hawafiki hata 63 hao wasaliti bora wang'oke maana 2015 tunataka tubaki tujitambuao
  5. C

    Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    Aisee nyie nyumba yenu yawaka moto maskio kwatu kwa jirani. Hawa wanaojidai kuweka mapandikizi kwenye CDMA hawatafanikiwa waambieni watz wa sasa sio wa Enzi zile za kina wassira tunajitambua na sasa ni ukiwa kwenda mbele tunataka mabadiliko.
  6. C

    Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

    Washirika wao mbona hawawasaidii kusomba watu kwa malori
  7. C

    BAVICHA Sombetini wamjibu mwenyekiti aliyehamia ccm

    Nimemsikia bwana Mdava kwa makini na madai yake kuwa kajitolea hela nyingi kuchangia chama ili chama kikishika hatamu ili wafa.... Hapa akawa anababaika ila lenge lake lilikuwa ni kufaidika ss watu kama hawa hawafai kuwa viongozi ni mamluki!! Watanzania shime alaykum tuungane kuwaondoa hawa...
  8. C

    Nape Nnauye atumwa kuiokoa CCM kata ya kiborloni.

    Nape alikuwepo toka jtatu
  9. C

    Chezea CHADEMA weyee! Makamba, Mkama, Kinana OUT..2015 CCM Out

    Halafu mijitu inakuja ohh mwenyekiti hafai ajiuzuru sijui katibu hafai waende ss ccm Si tunataka mabadiliko chini ya wana mabadiliko wa ukweli. Zitto ndo bye bye mnafiki mkubwa
  10. C

    Mwigulu Nchemba adai alikuwa best student stashahada ya kwanza na ya pili.

    Normally best students are poor performers in works. Huyu ataaibika mapema san nashangaakikwete kuweka vilaza katika wizara nyeti kama hii
  11. C

    Baby.....,baby....., nyoooooo! Wanawake wengi mnajidhalilisha sana!

    omba sasa papuchi wewe utaambiwa oohh baby mbona bado mapema sana!!! Kuwa mvumilivu una wasi wasi gani!!! Na wewe mnyime sasa anakuchunia moja kwa kwa moja
  12. C

    Mwigulu ataacha wenge baada ya kuwa naibu waziri?

    Mwigulu sio mwanasiasa ni tapeli wa siasa!! Kabaka siasa hafai kuwa mwanasiasa
  13. C

    Rage: Nini okwi, sasa namleta suarez toka liverpool

    Chekeni tu na wajinga rage ndo anaua mpira hivyoo!!! Kwa kuleta siasa uchwara Simba
  14. C

    Natafuta kiwanja moshi mjini

    Kaka ongeza tatu utapata kwa moshi mjini iwe 7mil kwa hiyo bei huwezi pata hasa maeneo ya Kb na Msaranga ndo kabisa hupati
  15. C

    Dk.Mkumbo: Nilijiuzulu nafasi zangu CHADEMA tangu 2010

    Dhana ya usaliti mmoja mmoja bado ndugu yake anayejidai anajua kuliko wengine
  16. C

    Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

    Yani mshikaji unaakili sana tungepata Watz 100 kama wewe nchi ingekuwa mbali sana. Watanzania wenzangu hebu angalieni mifano ya viongozi tulionao
  17. C

    Diwani CHADEMA mh.Hassan kijuu amchambua Dr.Magufuli

    Na hawa ndo aina ya wasomi tulionao uwezo wao wa kufikiri ni ngono na FB. Kama CDM ni saccoss mnachoumia ni nn CDM kutimua kenge woye ili tubaki Mamba. Mbona Hamadi rashid alipotimuliwa CUF na Kafulillah NCCR mbona hamkuumia hivi? Au CCm walipomfukuza yule mbunge wa Zanzibar. Vijana axheni...
  18. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Na bado mpaka tubaki mamba tu!! Kenge wote weka kule
  19. C

    CCM naichukia sana tena sana

    Wewe acha kuzalilisha wazazi!! Kumbe ndo huna mawazo kiasi hiki. Mleta mada nipo nyuma yako
Back
Top Bottom