Search results

  1. iron finger

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Kamanda Ben Saanane
  2. iron finger

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Daaaah uko wapi Ben😔😔😔😔😔
  3. iron finger

    Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

    Ebu kua kidogo acha utoto kaka
  4. iron finger

    CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

    Hali ya maisha ngumu sana achaneni na Chadema kidogo mm heck hili wa Tanzania tuko hoi mno na haya makodi mtatuua sasa
  5. iron finger

    Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

    Si wanakusanya tozo ili kujenga madarasa na barabara za vijijini
  6. iron finger

    Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

    CDM inahusikaje apo sasa bila kuitaja hamsikii raha eh😂😂😂😂😂😂
  7. iron finger

    Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

    Watoto wa marehemu zarendo uchwara😂😂😂😂😂
  8. iron finger

    Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

    Upinzani upi? Wakati wanadhulumiwa ubunge wao mlikaa kimya, tumeacha bunge zima ni la chama twawala, shida iko wapi? si upinzani unachelewesha maendeleo mkuu?
  9. iron finger

    Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Hayo maendeleo tuyasubirie miaka mingapi aseeeee?
  10. iron finger

    Rais Samia hili la makato mapya ni kaa la moto, linaenda kukupotezea umaarufu

    Mama etu anasafiri sana kila mara dege liko hewani linatumia kodi ya wa Tanzania tu
  11. iron finger

    Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

    Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema. "Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
  12. iron finger

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Kama umekosa cha kuandika kaa kimya tuu,inasikitisha inapofika hatua mtu mzima unapost ujinga mradi upate likes na comments
  13. iron finger

    Namuona Barbara Gonzalez katika picha ya Marina Granovskaia wa Chelsea

    Yes niko sahihi mkuu vyanzo vya taarifa vyote ni sahihi wakati wa Drogba anakaribia kuondoka darajani Marina ndo alihusika kutaka aongezewe mkataba hata wakato Michael Emanalo stili Marina ndo alikuwa na sauti kubwa ndiye alikuwa anapokea na kupeleka maagizo na maelekezo toka kwa boss directly
  14. iron finger

    Namuona Barbara Gonzalez katika picha ya Marina Granovskaia wa Chelsea

    Hata Marina ana act on behalf ya muamala wa Roman mkuu tuzungumzie utendaji
  15. iron finger

    Namuona Barbara Gonzalez katika picha ya Marina Granovskaia wa Chelsea

    Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya sibnfet mwaka 1997 kabla ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Abromovic kwenye bodi ya Chelsea mwaka...
  16. iron finger

    Kwanini Wewe pia ni Muhimu katika Ubunifu wa Kutengeneza wa Ulimwengu?

    Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia wakuu wa sayari hii. Wengine huhisi kana kwamba ukosefu wa utajiri au ushawishi wa muda mfupi...
  17. iron finger

    Maisha yamenishinda, vita imenishinda

    Pole sana mkuu kaza moyo kaka
  18. iron finger

    Kuanguka kwa Diamond na kupaa kwa Davido

    bei ya utumbo sio matusi ni mfano unaofaa
Back
Top Bottom