Search results

  1. F

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana - LIVE on Azam TV na Tido Mhando

    Huyu Jangiri anajikanyakaga eti CCM imeleta maendeleo vituo vya TV kama AZAM ,dahhhh kweli wameishiwa sera, TIDO kamtit jangira chama kile kile ilani zile zile
  2. F

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Lizabon wewe huna tofauti na Kondooooo nyambafu,kumbe unamatatizo ya kutoona
  3. F

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Mwanajukwaaa endelea kutupa updates za huko,Rock city na viunga vyake kesho ni mwendo wa kuteleza kama Kamongo vile.Edo boy +Ukawa = >Victory
  4. F

    Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA

    Hua sina muda na gazeti Hilo,lakn baada ya kusikia heading ya Leo ,Waandishi na Mhariri wa gazeti la Uhuru taaluma yao wameipatia chooni wakipiga kimbaaa ni washenziiiiii kabisa. Hawa ni mashetaaaaaaani kabisa
  5. F

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Ukawa daima mpaka Magogoni white house Oct 25 kabla ya sadaka Tayari ushindi
  6. F

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Kiboko yao ma nyinyiemu,Mwaka huu ni UKAWA na Edo Boy wetu
  7. F

    Picha na Maelezo: CHADEMA Kanda ya Kaskazini kuzindua Operesheni shahada mkononi

    Cdm gooooo gooooooo......viva 4 ever Ukawa
  8. F

    Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

    Kweli nilipita mitaa ya Ghandhi hall Mwanza mijitu ya mavazi ya kijani yamelambishwa umatemate baada ya kumdhamini Fisadi,kweli wamevuna Leo hapo ndo imetoka tena since watachinja mapema.....UKAWA on the way to Magogoni
  9. F

    Ushauri wa bure kwa CCM

    Wakafie mbali hatuhitaji CCM tena ,ARUMERU NI CHACHU YA MOVEMENT FOR CHANGES
  10. F

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    huyu Chipanzee karopoka ndotoni,mchapaji wa usingizi mjengoni anaropoka pasipo kujua anachokifanya, ka gamba kao ka SIOI hakajui hata siasa masikini kana bwabwaja tu jukwaani ndo maana wanahaha kujinasua japo tope liko shingoni tayar.Wana wa ARUMERU tuwe makini na utawala huu wa kiimla katika...
  11. F

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Mambo magumu A-Z ,ila TUMETHUBUTU KUIBA NA KUONEANA HAYA
  12. F

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Katafakari kaona bora hivo,ukichwa ngumu utamletea umauti kama dady yake.
  13. F

    Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

    We kweeeeeeeeeeeeeeli ni kibonde......................... nadhani umetumwa na hawa Majani ya kijani wenziooooooooooo, Wenyewe ni makupe they know nothing about good governance n Leadership Kenge nyinyi
  14. F

    Ukraine's ex-PM Yulia Tymoshenko found guilty of abusing authority.

    Hii sirikali yetu inaongozwa na vipofu.......,mijizi yetu inatembea njiani kama Tembo mbugani serengeti,iafahamika fika hii mikupe kazi ni kubebana na uswahiba usio na tija. Ukiwa jizi na unavaa majani ya kijani ndo kwanza unapewa u DC,RC,MP na mivyeooooooooooo inayoitwa eti Presidential App'nt.
  15. F

    Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini

    Dahhhh!! Mh. Chiku kanikosha ile mbaya , muda wa mabadiliko ulishafika na watanzania wanaitaka nchi yaoooo.Makamanda hicho ndo tunachokitaka kwani vijijini hawa magamba fisadi ndo wanakopindishia matokeo. Tukijikita huko kwa mfano wa Chiku 2015 tanzania ni ya watanzania wenyewe.Makamanda...
  16. F

    CCM ndani ya mgwanda?

    Kweli kabisa magamba waanza kuiga Makamanda, kazi kwenu magamba kuibia.
  17. F

    Dr Bana and CCM

    Hakuna cha maana alichokisema isipokua ni ukibaraka huku akivizia kitu kutoka kwa magamba, naona huyu jamaa hajui maana ya FREE & FAIR election.
  18. F

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Eee Mungu tusaidie wana wa nchi hii kwani kama ni Bomu limebakisha kama 5 min lilipuke, Bado kidogo kutawaka moto hapa....
  19. F

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Dahhh!!hi ! hii sumu kaitoa wapi Mwakyembe???, hii nchi majasusi wataimaliza kwa manufaa ya Mafisadi.
Back
Top Bottom