Search results

  1. K

    Nilichokifanya baada ya kutendwa

    Sikiliza kijana wangu, yupo Yesu ambae anakupenda na yeye ni mfalme wa amani. Ukimkaribisha Yeye utapata amani ambayo Ulimwengu huu hauitoi.mkiri kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka
  2. K

    Rafiki wa mpenzi wangu ananitaka kimapenzi, nifanye nini jamani?

    Tubu nawe upate wokovu kupitia jina la YESU
  3. K

    Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    wenzako ni wazoef kuleta watu kwenye ufalme wa Mungu we unakuwa hodari au mzoef kuifanya kazi ya shetani, unajua mwisho wake? Badilika mwamini Yesu akusaidie
  4. K

    Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

    Mwaminin bwana Yesu awape uzima. Kisha mtapata furaha nafsini mwenu na milango itafunguka
  5. K

    Jamani mi nina ugonjwa wa kupenda mwanamke mwenye hips

    Mwamini Yesu nae ataziondoa tamaa zote, hakika ni rafiki wa karibu na mshauri wa ajabu sana
  6. K

    Askofu Gwajima atembea tena baada ya kupooza

    Waliangukialo watapasuka vipandevipande na liwaangukialo litawasaga tikitiki. Hakika Yesu adumu wa kuaminiwa na wengi tunamkiri na kumwamini kuwa ni bwana na Mungu alimfufua kutoka kwa wafu
  7. K

    Single mothers, walioachika na waliofiwa wapo, kwanini vijana mnakuwa na wake za watu?

    heri kumkimbilia Yesu anaeokoa watu na dhambi zote ikiwemo na hizi
  8. K

    Ushauri: Nataka kuacha kazi lakini familia hainiungi mkono

    imi niliwapa ndugu zangu kusimamia biashara nami nikaendelea kufanya kaz nikapoteza zaid ya milion kumi na tano. Nimeamua kutake risk ya kuacha kaz. Nasubir changu NSSF nipambane kivyangu kwenye ujasiriamali
  9. K

    Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

    YESU ni Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu. Kila amwaminiye hatapotea bali atakuwa na uzima tele. Nakushauri umwamini YESU umpe nafasi ndani ya Moyo wako naye atayabadilisha maisha yako. Zaidi ya yote atakupa mke Mwema
  10. K

    Napendwa hadi nahisi dunia yote ni yangu!

    Safi sana, biblia inasema aliyesimama aangalie asianguke, pia wakati wa amani ndipo yule mwivi huja. Kwa hiyo ushauri wangu kwako ni kuwa katika kipindi hiki cha neema wekeza kwenye maombi yakulinda ndoa yako. kumbuka yusufu wakati wa neema aliweka chakula cha akiba. Mungu wa Mbinguni akubariki...
  11. K

    Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

    Sawa kaka lakini nafikiri ni muhim sana kuzingatia katiba. Chamsingi ni kupata kiongoz mzuri atakae endeleza mazuri yote aliyoyafanya
  12. K

    wadada wenzangu naombeni msaada

    Japo kuwa umewauliza akina dada mi naweza kukushauri kuwa msingi wa ndoa ni Mungu. Kwa hiyo huna hata haja ya kujaribu wanaume maana waweza kuishia kubaya au kuumizwa zaidi na kujikuta umekosa kabisa hii sehemu nzuri kabisa ya maisha yako ualiyobaki. Mwombe Mungu na ujiamini kuwa kwa namna...
  13. K

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Tusubiri tuone
  14. K

    Regia Mtema is No More!

    Jamani hebu fuatilia utupe ukweli. Mi bado sikubali kuamini
  15. K

    Single LADIES and LADS. . .

    Jamani mi nashindwa kusema kitu maana mi nilishaoa miaka 7 iliyopita
  16. K

    job application online/through email

    Inategemea na instruction ya mwenye kazi. Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter inayoelezea kwa nini unafikiri unafaa kupewa hiyo kazi. Mara nyingi watu wengi siku hizi hawana intrest na vyeti katika hatua za mwanzo. Cha msingi hakikisha CV yako inaweza...
  17. K

    Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

    Jamani mnenifurahisha sana kwa comments. Jamani wale ambao hatukuoa walimu tusiwe na mashaka pia tumepata wake wazuri. isiwe chanzo cha kutafuta wanawake wengine bure........
  18. K

    Umoja wa Kitaifa Ikulu

    Tunashukuru kwa picha lakini mwisho wa siku ni bora kujua matokeo, nini kimejiri?
Back
Top Bottom