Search results

  1. kamatembo

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Wanatutesa sana hao na tipper zetu za mchanga ndio mtaji wao mkubwa Mkuu hao jamaa ni maarufu sana hio njia ya Bagamoyo nadhani hawatumii gari moja kwa kuogopa kujulikana, mimi nina magari yangu ya mchanga njia hio madereva wangu wananambia hawawezi kuniletea hesabu bila kuwatoa wao kwanza...
  2. kamatembo

    Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    Leakage za kishenzishenzi ni pamoja na airport kwenye kulipia visa uhamiaji wanataka tulipie kwa usd,kwanini wasi convert thamani ile ile ya gharama ya visa tukalipa kwa tsh ???
  3. kamatembo

    Nipeni urais, jengo la bunge mnadani

    Wanaenda kusinzia tu hovyo
  4. kamatembo

    Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Hahaha povu
  5. kamatembo

    DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

    mkuu ingekuwa ni instructions za matumizi ya dawa nadhani ungekuwa umeshaji overdose tayari,hakuna mahali pameandikwa aliecharazwa viboko ni mtoto,bali imeandikwa kuwa aliecharazwa ni mzazi .Tujitahidi sana kusoma kwa utulivu na kuelewa kilichoandikwa huku kukurupuka ndio kunakofanya dhahabu...
  6. kamatembo

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    true alianza vizuri tu,akaja kuboronga mbele uzi wake huu ungekuwa na mashiko ile mbaya
  7. kamatembo

    Jokate wewe ni kiongozi UVCCM, achana na habari na magazeti ya Udaku

    atawatoaje watu kiholela tu namna hio,esp km walichaguliwa kwa kura,democracy
  8. kamatembo

    Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

    shame on you..ina maana GEORGE OPPONG WEAH hayumo kuna Ryan Giggs si nafuu Kbs ungemuweka na Gigi money tukajua mojo tu
  9. kamatembo

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    tupo mkuu UDSM si mpaka sie huku samaki samaki ya mlimani city na waendesha bajaji au
Back
Top Bottom